Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Customs Wao hawachukui rushwa!
Tena wao ndo worse. Ukijaribu kwenda na Gari kenya kuwa na hata 50k kila ukikutana na police mrushie 10k. Hawaangalii hata gari ikoje ndo maana unaona hadi magari yasiyo na taa CBD.

Yaana wanavyoongelea nchi nyingine as if Kwao wanafikia hata Rwanda kwenye traffic control au public services. Tena wao ndo worse zaidi hapa East Africa. Sema sis watz wapole sana...huwezi kuta tunawasema kwenye public pages kuwa kenyans hate other Africans kwa sababu ya few corrupt individuals

Kuna mtu anasema ni inferiority complex... really? towards kenya? Yaana wanaona Kenya iko level moja na Singapore wakati ni Burundi iliyochangamka
 
Oyaaa mwanangu una macho kuliko macho yenyewe, ebhn ndio naangalia hapa hili dude halina taa na linakatiza CBD bila tabu yoyote aisee, Tanzania hata nje kwako hupaswi kuliweka unakamatwa, lkn Kenya ndiyo their best public transport 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3131215
Ukurutu city!
 
Mwaka 2026 - 2027 Tanzania kuanza kuchimba mafuta kwenye bonde la Wembere na Ziwa Eyasi.


View: https://youtu.be/sSeFUjGQR2o?si=kL5_-tlUnT1_Xro2

1729493950469.png
 
Back
Top Bottom