Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ndio maana nakwambia nina mashaka na kuelewa wako.

Nakupa mfano mdogo tuu,kabla ya kuwekwa lami Kwa Barabara ya Tunduma-Sumbawanga,,ule Mkoa ulikuwa kama Kambi ya wakimbizi ila Leo hii Mji unakimbia.

Likewise Mpanda ,imekuwa na reli Toka uhuru ila baada ya Barabara Mji unakimbia ,the same to Kigoma nk nk

Ukiniukiza Barabara gani nakushangaa maana nimekupa Hadi ramani hapo inayoonesha rundo la mavumbi ,zote hizo Zinahitaji kuwa lami.

Unataka nikutajie Barabara Moja Moja au Mikoa inavyotakiwa kuunganishwa na lami? Tunahitaji Barabara kuliko kawaida 👇👇

View: https://x.com/Hakingowi/status/1847341463497298225?t=C-0Ksxz5YjvCx0AJfRv4WA&s=19

Mimi ndo nadhan uelewa unatia mashaka , Sasa hivi hakuna mkoa ambao haujaunganishwa na barabara kasoro baadhi tu maeneo na vipande, na lazima ujue mentality ya kujenga reli ni ipi tusingekuwa tunapishana hapa . Reli inajengwa ili kuweza kuongeza efficiency ya bandari ya dar na kama umefuatilia baada ya ujenzi reli kuanza Kuna viwanda lukuki vinajengwa hasa maeneo ya kwala au kando kando ya reli ili kuweza rahisisha usafirishaji wa mizigo. Pia huwez kusema uache kujenga reli wakati Kuna competitor wako anajenga reli kutaka kuteka wateja wako wanaotumia bandari , labda kama hujajua influence ya bandari katika ukuaji wa uchumi.
Ingekuwa barabara hazijengwi sawa ningekusupport ila kusema kuwa tuache ujenzi wa reli tujenge barabara hapo ndo tunapata mashaka naweww kuwa unatetea maslahi ,umetuletea raman kutuonesha kuwa Kuna vumbi tumekuletea evidence ya baadhi ya barabara ambazo zinajengwa na ziko kwenye ramani yako.
We una conflict of interest . Ni sawa na yule aliyesema siajiri walimu ila najenga shule , Sasa sijui hizo shule zingefundishwa na watu gani
 
Eti barabara ni viable? While most viable unamgawia muwekezaji?

Na unataka uwe na maendeleo
 
Una uhakika gani hicho choo ni SGR station? Vile vyoo vyenu vya JKIA Vp?
Go argue with your fellow ancestors.

1729280402888.jpeg
 
Hiyo road imejengwa section,huko Liwale ni mavumbi tupu yaani kiufupi sehemu yenye vumbi ni kubwa kuliko kwenye lami.

Wewe elewa kwamba Nchi inahitaji Barabara sio reli,3/4 ya network ni mavumbi.

Barabara Zina push maendeleo ya individuals Hadi Nchi na sio reli Wacha ubishi wa kipuuzi
Mikoa 15 ambayo unadai haijaunganishwa na lami ni Ipi ? Na in what sense.?
 
Ndio maana SSH ameweka kipaombele kwenye Barabara sio hayo ma reli yenu.

Barabara inatakiwa kutoboka kutoka Liwale Hadi Mahenge ambayo itarahisisha wasafiri wa kutoka Kanda ya kati,Ziwa kufika Mtwara.

Nchi inahitaji Barabara zaidi kuliko hizo reli,hizo blue line ni Barabara zinazotakiwa kufunguliwa 👇👇View attachment 3128973
Mama hajui hata hilo neno kipaumbele, mnamuwekea maneno kinywani . She is just there akienda na upepo wa miradi ya Jiwe. Leave her alone
 
Mikoa 15 ambayo unadai haijaunganishwa na lami ni Ipi ? Na in what sense.?
Tuwaulize nyie wazee wa Sgr in what sense mlipuuza uchumi wa Mikoa hiyo Kwa kupoteza hela Kwa miradi ya cosmetic kama Sgr,Kigongo Busisi,ndege nk.

Mikoa ifuatayo haijaunganishwa na Lami.👇👇

1.Mbeya-Singida
2.Mbeya-Tabora
3.Katavi-Rukwa
4.Songwe-Malawi
5.Rukwa-Zambia
6.Ruvuma-Morogoro
7.Ruvuma-Malawi
8.Kigoma-Katavi
10.Kigoma-Tabora
10.Kigoma-Kagera
11.Arusha-Mara
12.Manyara-Tanga
13.Manyara-Simiyu
14.Shinyanga-Arusha
15.Njombe-Morogoro
16.Lindi-Morogoro
17.Mtwara-Iringa via Lindi & Moro
18.Tanga-Manyara
19.Kilimanjaro -Manyara
20.Tanga-Morogoro
21.Simiyu-Arusha.


Kiufupi hapo nimekuhurumia tuu ila list ni ndefu sana na hapo sijataja Barabara muhimu sana ambazo zinatumiwa na watu wengi kuliko zili ambazo zimeunganisha Mikoa Kwa Sasa eg
Masasi-Mtwara via Tandahimba
Mbeya-Katavi via Mlowo-Majimoto
Njombe-MbambaBay
Mbeya-Njombe via Makete
Masasi-Ruangwa-Liwale
Liwale-Kilwa
Arusha-Dodoma via Simanjiro
Mpanda-Tabora via Kaliua(Shorter distance kuliko ya Mpanda-inyonga-Tabora).nk nk

Mwisho narudia tena watu wanataka Barabara na sio ma reli yenu hayo
👇👇
Screenshot_20240709-061801.jpg
Screenshot_20240924-154848.jpg
 
Back
Top Bottom