Mkuu Inawezekana hunafuatilia , kipindi Cha magu hakuna miradi kwa upande wa elimu aliyowekeza , huwezi Kuta hata 30 mpya kuanzishwa enzi za utawala wake , miradi kama barabara sawa ila nayo hakuimaliza maana hakukuwa na hela.tunazungumzia shule kwa mfano huu
View: https://youtu.be/XR-HW7E-z8U?si=p7_wClIUY62wqHVi
Hizi ni zile shule za 3bil tatu zimejengwa mpya from scratch Kila mkoa na nizawasichana.
Magufuli hakujenga shule Wala kuboresha miundombinu ya shule .
3. Kuhusu barabara lazima tuseme kuwa ni yeye maana hata ukiangalia barabara ambazo ndo zinamaliziwa zote yeye ndo alizianzisha . Kumbuka tungekubali kuwa zilikuwa na ubora pale ambapo hata ukaguzi wa vyombo vingine ungekuwa unafanyika , lakini pale mtu alipofanya ndivyo sivyo alitoka rejea Cag utouh.
3 hizo nchi zote ulizotaja zimeendelea kwa kuwekeza sana kwenye elimu . Elimu inafanya mtu kujitambua na zote ziliendelea hasa baada ya mapinduzi na kuamua kuwa na uchumi wa viwanda. Mfano tu china ilapoamua kuwekeza sana kwenye elimu ya ufundi ndo ilipotoka , vilevile Japan na India.
Kuhusu hospitali ndio alijenga muhimbili lakini ni watu wangapi wanauwezo kufika muhimbili ? Kipindi hapa Kuna vituo vya afya vingi sana vimeanzishwa na vingine kuboreshwa tofauti na kipindi Cha magu na kukuongezea tu pamoja na ujenzi serikali imeajiri watu wengi sana wa afya kipindi kuliko kipindi chochote.
Ukinipatia tangazo la kazi kuanzia 2015 - 2021 la kuajiri walau hata manesi 1000 kwa serikali kwa mkupuo nafunga account. Yaan ajenge hospitali majengo yabaki bila watoa huduma unaona Iko sawa.