ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mkuu tukiweka na siasa pembeni, hivi unajua mradi brt ulianzia enzi za kikweteEti ametoa bilioni 15 ,
It’s okay anyway sina sababu yotote ya kuwa hâter wa mama. Ni vile tu tunaongea ukweli kuwa nafasi aliyonanyo ni kubwa kuliko uwezo wake. That’s it . Nothing personal mate.
Mradi wa B15 unauleta hapa hii ni miradi ya individuals .
and of course ni Miradi ya Jiwe ndio ccm wataitumia kwenye campaigns za 2025 .
Hata barabara ya kimara-kibaha wameshindwa kuimaliza 5 years down kitu gani wataweza hawa ?
Nilishakwambia wewe Bado sana hujui Tanzania ila unajua Kusini tuu huko.View attachment 3129443
Kuna mambo mengine unapinga hayana logic.
Sasa hiyo hivi unajengaje barabara ya rukwa - Zambia na Malawi wakati zimepakana na ziwa Nyasa au Inamaanisha daraja kuvuka zaid ya km 50 ndani ya maji. Kuna Hela ya kujenga daraja kwa zaid km 50 na gharama yake siitaizid reli.
Connection ya shinyanga - Arusha inatoka wapi wakati zimetenganishwa na simiyu.
Bukoba -kigoma SI Iko katika ujenzi kupitia nyakanazi
Hapa ni mada ya mikoa ambayo haijaunganishwa na hakuna ujenzi unaondelea, lakini umeorodhesha barabara ambazo nyingi ziko katika ujenzi mfano wa hizo barabara ni
Masasi ruangwa-liwale infact ni masasi - nachingwea - liwale ruangwa
Masasi- newala- tandahimba zote ziko katika ujenzi
Kuna barabara nyingine hakuna hata logic ya kujenga mfano
Lindi - ruvuma wakati Kuna barabara ya mtwara- Lindi - masasi- tunduru - namtumbo - songea na Bado Kuna shortcut Iko inajengwa ya kupitia tandahimba.
Hiii ya mtwara- songea zaid ya makaa ya mawe na mahindi hakuna mzigo hata abiria wa kusema utajenga barabara . Kwa songea - mtwara ukiweka trip tano tu hupati abiria na kingine kumbuka nusu ya Hilo eneo ni hifadhi ambayo inahitaji feeder road kuja kwenye main
Karibia barabara zote ulizotaja Zina wakandarasi wako wanajenga ungetaja barabara ambazo hakuna hata mkandarasi sawa
Kwa kuropoka uko vizuri Sana,nionyeshe hiyo Barabara ya Lami kati ya Njombe-Ifakara-Mikumi👇👇utterly nonsense,
Kwamba hakuna barabara ya lami Njombe hadi Morogoro ?
Unless utwambie what business sense (Volume of Business) itajustify kuwekeza bilions of money kwa direct link ya njombe ifakara kama kipaumbele. Otherwise you sound Irrelevant mate.
Kwa kuropoka uko vizuri Sana,nionyeshe hiyo Barabara ya Lami kati ya Njombe-Ifakara-Mikumi👇👇
View: https://youtu.be/jTnyisWn6NU?si=GTjXesUCHwv5nUPJ
Kiufupi wewe ni fala hakuna kitu unajua kwenye sekta ya Barabara👇👇
View attachment 3129500
Mkandarasi unajua anajenga km ngapi? Ndio maana nimekwambia Barabara ya zaidi ya km 250 vumbi unatoa km 40 unategemea tutatumia miaka mingapi kukamilisha?Hii barabara mkandarasi ameshapewa ujenzi uko mbioni kuanza.
Wanyama wangekua na uwezo wa kuzaa binadamu Kunyaland nusu ya population wangekua watoto wa mbuzi na ng'ombe
View: https://x.com/TheNairobiTimez/status/1847329700760154264?t=FNMGM3GyGrjfsA4HceZ-Aw&s=19
Tusiitane majina kwa kuwa mtu katoa wazo linatofautiana na lako au kiongozi fulani,nchi hii ni yetu wote tukubali kupokea mawazo kinzani tuyatafakari ikiwezekana tuyafanyie kazi tuanajenga nyumba moja!Wewe ni mgeni? Huyo ni teargas wa Tz.
Cc game over ,miradi ya Magufuli 😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBTA7EkNvr2/?igsh=cGw3NDVmOWQzcGFh