Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijasoma ulichoandika mana najua ni uongo, chuki na kampeni za mwaka huu kwa mama, ukweli unajulikana huwezi kumlinganisha Magufuli na kiongozi yeyote Tanzania ukiacha baba wa taifa. Hivi nyie watu mbona mnasahau mapema sana, hivi nyie kabla ya Magufuli mlikuwa japo na uthubutu wa kubishana na nchi kama kenya? Ni hivi sasa ndiyo tunaiona kama failed state kutokana na ujasiri aliotupa magu, hivi unapataje guts za kumlinganisha Magufuli na Samia? Mbona mnaleta mzaha kwenye mambo serious? Kama unapiga kampeni sawa nafunika kombe.
Wala sio chuki , tunachosema miradi mingi iliyoanzishwa na magufuli ilikuwa inastuck ila kwa sababu hakukuwa na uhuru wa kukosoa ndo maana Kila mtu aliufyata.
Mimi nimetoa mfano wa ajira tu na nyongeza ya mishahara tu kwa watumishi.
Magufuli alianzisha miradi mingi ila hakuwa anajenga, kilichokuwa kinafanyika ni siasa tu. Sasa hivi Samia kapokea miradi mingi ambayo ilikuwa ni viporo .
Chukulia mfano tu wa reli ilianza kujengwa 2017 na mpaka anaondoka alikuwa amedili na dar- Dom baadae akaruka kwenda kuanzishwa mwanza - isaka hapa katikati kuanzia makutupora mpaka tabora,tabora- isaka ,tabora - kigoma Hela amekuja kuanza kutafuta mama Samia .
Same kwenye brt ukiachana na alizokua ameacha kikwete phase zilizobaki zimepickup kipindi Cha mama Samia.

Ndio maana SSH ameweka kipaombele kwenye Barabara sio hayo ma reli yenu.

Barabara inatakiwa kutoboka kutoka Liwale Hadi Mahenge ambayo itarahisisha wasafiri wa kutoka Kanda ya kati,Ziwa kufika Mtwara.

Nchi inahitaji Barabara zaidi kuliko hizo reli,hizo blue line ni Barabara zinazotakiwa kufunguliwa 👇👇View attachment 3128973
Hakuna anayepinga ujenzi wa barabara utofauti wa Mimi na wewe ni kuwa tuache kujenga reli tuanze kujenga barabara wakati Kuna maelfu ya barabara yako katika ujenzi.
Mama Samia anajenga vyote barabara na reli . Walau imekubali kuwa barabara zinajengwa kumbe hatujaacha kujenga
 
Sijasoma ulichoandika mana najua ni uongo, chuki na kampeni za mwaka huu kwa mama, ukweli unajulikana huwezi kumlinganisha Magufuli na kiongozi yeyote Tanzania ukiacha baba wa taifa. Hivi nyie watu mbona mnasahau mapema sana, hivi nyie kabla ya Magufuli mlikuwa japo na uthubutu wa kubishana na nchi kama kenya? Ni hivi sasa ndiyo tunaiona kama failed state kutokana na ujasiri aliotupa magu, hivi unapataje guts za kumlinganisha Magufuli na Samia? Mbona mnaleta mzaha kwenye mambo serious? Kama unapiga kampeni sawa nafunika kombe.
Bosi unaweza taja mradi wenye tija ambao magufuli alianzisha na kukamilisha . Wenye tija
Mimi simpigii kampeni ila tukisema tu audit miradi iliyofanyika chini ya magufuli kwa kulinganisha na Samia , Mimi naona wizi mkubwa ulikuwa kipindi Cha magu
 
Wala sio chuki , tunachosema miradi mingi iliyoanzishwa na magufuli ilikuwa inastuck ila kwa sababu hakukuwa na uhuru wa kukosoa ndo maana Kila mtu aliufyata.
Mimi nimetoa mfano wa ajira tu na nyongeza ya mishahara tu kwa watumishi.
Magufuli alianzisha miradi mingi ila hakuwa anajenga, kilichokuwa kinafanyika ni siasa tu. Sasa hivi Samia kapokea miradi mingi ambayo ilikuwa ni viporo .
Chukulia mfano tu wa reli ilianza kujengwa 2017 na mpaka anaondoka alikuwa amedili na dar- Dom baadae akaruka kwenda kuanzishwa mwanza - isaka hapa katikati kuanzia makutupora mpaka tabora,tabora- isaka ,tabora - kigoma Hela amekuja kuanza kutafuta mama Samia .
Same kwenye brt ukiachana na alizokua ameacha kikwete phase zilizobaki zimepickup kipindi Cha mama Samia.

Hakuna anayepinga ujenzi wa barabara utofauti wa Mimi na wewe ni kuwa tuache kujenga reli tuanze kujenga barabara wakati Kuna maelfu ya barabara yako katika ujenzi.
Mama Samia anajenga vyote barabara na reli . Walau imekubali kuwa barabara zinajengwa kumbe hatujaacha kujenga
Ndio tuache kujenga reli kwanza Hadi basic infrastructures kama Barabara zile za muhimu ziwe zimemalizika maana hizo ndio zinakuza uchumi wa mtu mmja mmja na Nchi Kwa haraka sana.

Nashawishika kuwaza huenda Serikali inafanya makusudi Ili watu wasiwe na Uchumi iweze kuwatawala kirahisi maana hii ni Nchi ya kijamaa.

Haiwezekani Ivory Coast itumie Barabara na cocoa tuu na kuwa Moja ya Nchi zilizoendelea sana huko West Afrika na imetuzidi Uchumi.
 
Barabara gani ambazo unaamini zitakuza uchumi na hazijajengwa
 
Wewe ndio maana nakwambia nina mashaka na kuelewa wako.

Nakupa mfano mdogo tuu,kabla ya kuwekwa lami Kwa Barabara ya Tunduma-Sumbawanga,,ule Mkoa ulikuwa kama Kambi ya wakimbizi ila Leo hii Mji unakimbia.

Likewise Mpanda ,imekuwa na reli Toka uhuru ila baada ya Barabara Mji unakimbia ,the same to Kigoma nk nk

Ukiniukiza Barabara gani nakushangaa maana nimekupa Hadi ramani hapo inayoonesha rundo la mavumbi ,zote hizo Zinahitaji kuwa lami.

Unataka nikutajie Barabara Moja Moja au Mikoa inavyotakiwa kuunganishwa na lami? Tunahitaji Barabara kuliko kawaida 👇👇

View: https://x.com/Hakingowi/status/1847341463497298225?t=C-0Ksxz5YjvCx0AJfRv4WA&s=19
 
Ndio tuache kujenga reli kwanza Hadi basic infrastructures kama Barabara zile za muhimu ziwe zimemalizika maana hizo ndio zinakuza uchumi wa mtu mmja mmja na Nchi Kwa haraka sana.

Nashawishika kuwaza huenda Serikali inafanya makusudi Ili watu wasiwe na Uchumi iweze kuwatawala kirahisi maana hii ni Nchi ya kijamaa.

Haiwezekani Ivory Coast itumie Barabara na cocoa tuu na kuwa Moja ya Nchi zilizoendelea sana huko West Afrika na imetuzidi Uchumi.
Ivory coast inaingia mara tatu kwa Tanzania. Furthest point ya Ivory coast haizid km 950 Tanzania kutoka dar -kgm 1400 na sio furthest point , nikitaka kusafirisha mzigo toka kigoma kwenda dar nikiwa na lorry nahitaji zaid Lt 1000 za kwenda nakurud wakati Ivory coast ni nusu ya hapo , nitahitaji siku tatu kutoka mwanza to dar kwa lorry wakat kwa ivori coast nitahitaji siku Moja kuvuka kwenda nchi nyingine
Population ya ivory n 30mil Tanzania 60
Top export za Ivory coast ni cocoa top export na Tanzania ni mazao mchanganyiko kama Michele,korosho, ufuta, kahawa , madini na kadhalika ambavyo vinahitaji nafasi kubwa na ni vizito.
Tanzania imezungukwa na landlocked 6 zinazotumia bandari na zenye mzigo mkubwa unaohitaji kusafirisha , ukitembelea Zambia ukiangalia mzigo wa copper unasukumwa kwenda south kwa ajili ya kusafirishwa nje huku unaokuja Tanzania haufiki hata robo.
Nenda Beira uangalie treni ya makaa ya mawe inavyoshusha mzigo bandarini Beira hakuna magari ya ya kuweza kubeba hata tutakuwa na dual lines.
Kama makaa ya mawe tu kuyasafirisha kutoa mbinga kupeleka mtwara na barabara Haina foleni lakin Bado matajiri wanachemka reli ndo solution
 
I said it here that Tanzanian SGR is a project that was meant to fail.

Look at the toilets of their biggest and best station😂😂👇👇👇

1729278207002.jpeg
 
Back
Top Bottom