ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,248
Kahama ni gulio la wachuuzi na chimbo la manamba wa migodini 😂😂Shy bhana inaniacha hoi sana, kimiundombimbinu ndani ya mkoa wa shinyanga pale mjini kati (wilaya ya shinyanga) ndio pamejengwa miundombinu vizuri kabisa ila Kahama ndio imechangamka kuliko zaidi..
Shy ni Regional HQ