ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Vyote hivyo ndio vimezuia kujenga Barabarakwani SGR imeanza kujenga Leo. SGR imeanza miaka mitano iliyopita ilikataza kujenga Kwa bwawa la Nyerere, kigongo busisi bridge
Vyote hivyo ndio vimezuia kujenga Barabarakwani SGR imeanza kujenga Leo. SGR imeanza miaka mitano iliyopita ilikataza kujenga Kwa bwawa la Nyerere, kigongo busisi bridge
Kwaiyo mama ana miradi mingi kuanzisha kuriko Magu?Wengi hawajui kinachoendelea na mara nyingi tunakimbilia kuwa Kuna upigaji bila hata kufanya comparison na wenzetu , wengi tunafanya comparison kipindi Cha magufuli kwamba alifanya mengi na kumshusha mama Samia kwamba kwa kipindi chake ni upigaji tu bila kuangalia yaliyofanyika ndani ya kipindi chake. Wabongo tunapenda uongozi wa kuumizana , mfano watu wakiona utumbuaji wa hadharan wanajua ndo kazi inafanyika kumbe underground watu wanajipigiq .
Reli ni muhimu sana katika kukuza uchumi maana inashusha gharama ya usafiri hivyo kushusha gharama ya bidhaa.
Mataifa kama china na japan wamefanikiwa sana mchango mkubwa ukiwa ni pamoja na reli kwa sababu imewarahisishia kusafirisha bidhaa zao kwa gharama ndogo wakicompete na mataifa kama marekani ambao kwao reli Bado sana.
Kwa mfano kutoka songea- dar tonne 1 ya mahindi inatozwa 150,000 mpaka 160,000 kwahiyo ukiwa na tonne 30 unahitaji 4,500,000 lakini kwa Bei za trc kutoa mzigo kama huo kigoma kwa wameweka 1,500,000 Sasa kama kungekuwa na reli haya mahindi yangeweza kufika dar Bei rahisi na ndo maana mazao ya songea Huwa ya mwisho kabisa mpaka mikoa mingine kama moro, Dom,manyara yaishe ndo waanze kufuata huko.
Na huko barabara ni ya lami mpaka dar, lakini kutoka na wingi wa malori hasa ya makaa ya mawe barabara karibia zote za kuingia songea zimeharibika na tukisema tujenge barabara nzito kwa km SI chiini USD 1mil kwa barabara ya mfano wa iringa makambako na Bado zitakuja haribika tu
Wewe ni mwenye mawazo ya kipumbavu siku zote! A mining country like Tanzania n her neighbors need a railway!Kama mlijua Barabara ni za muhimu Kwa nini mlitumian 10.7T kujenga reli km 722 na miundombinu yake?
Huu ndio ufala Sasa,hiyo pesa inatosha kujenga expreway Barabara zote kubwa hapa Tanzania
Tukisema upigaji ni pamoja na matumizi ya hovyo na ya anasa. Kusafiri bila mipango. Vikao visivyo na Tija. Sherehe nyingi. Misafara mirefe ya viongozi.Kwai
Kwaiyo mama ana miradi mingi kuanzisha kuriko Magu?
Yaap ukitaka tunaweza Anza kuoroshesha hata Sasa hivi na ukumbuke Bado hajakamilisha miaka mitanoKwai
Kwaiyo mama ana miradi mingi kuanzisha kuriko Magu?
Yes Hanza kuorozesha na thamani ya miradi yake, arafu nikuwekee ya Magu.Yaap ukitaka tunaweza Anza kuoroshesha hata Sasa hivi na ukumbuke Bado hajakamilisha miaka mitano
Hizo 10.7T unajua ni sawa na $4bn, mnajidai kukusanya $2bn kwa mwezi.Wewe ndio hujielewi,hoja ni Mwekezaji amekataa kujitojeza mnataka ijengwe Kwa pesa za kawaida.
Swali pesa zinatoka wapi ikiwa mnatumia 10.7T kujenga Sgr ya Dar-Makutopora km 722?
Hiyo pesa ingetosha kujenga expressway zote kubwa Tanzania na kuunganisha Mikoa 15 iliyosalia Kwa Barabara za Lami.
Acheni ufala
Huyo hili hawezi lielewa.Yaan ukitaka jua umuhimu wa reli tafuta eneo lenye mizigo mingi kama songea mtwara uone tanroad wanavyohangaika
Mdinyo ni gani! 😂😂😂
Ndio maana walipost humu picha za upande upande, jua kali.
View: https://x.com/kenyans/status/1846546265674285323?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Mind you kwamba unapofanya project planning unaanda pia mode of financing. Sio mradi unakuta katikati unasema ni WA kwako.Yaap ukitaka tunaweza Anza kuoroshesha hata Sasa hivi na ukumbuke Bado hajakamilisha miaka mitano
Tuna mahitaji mengi ya msingi kuliko za kujengea expressway.Hizo 10.7T unajua ni sawa na $4bn, mnajidai kukusanya $2bn kwa mwezi.
Alafu Expressway unaijua kijana eti mikoa 15 kwa $4bn uliona wapi? Expressway inataka elevated bridges, overpass, underpass, tunnels, flyovers, Interchanges unadhani hizo $4bn zinatosha hata kuifikisha Expressway ya kisasa Tabora?
Why msijenge? SGR imejengwa miaka mingapi? Hiyo miaka kila mwezi mnakusanya $2bn mnashindwaje? JNHPP si iliwezekana kwa $3bn hatusikii kelele yako.
Lusaka - Ndola Dual Carroiage way ipo $600m km za Dar Moro. kwenye hayo makusanyo ya $2bn kwa mwezi why mseme mtenge $50m kila mwezi kupeleka 6 way lanes morogoro kwa miezi 36 ikiwa hiyo iwashinde hadi mtafute mwekezaji. What does it mean kila kitu siku hizi kutafuta mwekezaji?
Hiyo reli ya $4bn ulitaka iwe ya $2bn tulete ngija ngija full moshi? Railways inaplay big part kwenye economy.
Msijaribu kujustify incompetence yenu kwenye miradi na matumizi ya mapato kwa kusingizia railways cost. Jenga maana hamna excuse, tushaoneshwa inawezekana
Kaka ili upunguze ghalama za usafirishaji reli haikwepeki tuna ushindani mkubwa na corridor zinazotuzunguka Hamna njia nyingine ni lazima kuwekeza kwenye reli.Tuna mahitaji mengi ya msingi kuliko za kujengea expressway.
Hayo mahitaji ya msingi yangefanyika awali Kwa pesa mlizojengea Sgr ya mapambo Kwa Sasa ndio zingekuwa zitumike kujengea hizo expressways.
Mwisho kabla ya kuwaza hizo expressway lazima kwanza Mikoa yote iwe imefikiwa Kwa kuunganisha na Barabara za Lami.
Reli zimekuwepo kabla, gharama zilioungua? Na baada ya kupungua unaweza nipa mchango specific wa reli kwenye kukuza Uchumi?Kaka ili upunguze ghalama za usafirishaji reli haikwepeki tuna ushindani mkubwa na corridor zinazotuzunguka Hamna njia nyingine ni lazima kuwekeza kwenye reli.
Yaani viongozi tulionao sasa hiv...wanaitawala Tanzania kama sio kwao vile. Yaan they don't care.Hizo 10.7T unajua ni sawa na $4bn, mnajidai kukusanya $2bn kwa mwezi.
Alafu Expressway unaijua kijana eti mikoa 15 kwa $4bn uliona wapi? Expressway inataka elevated bridges, overpass, underpass, tunnels, flyovers, Interchanges unadhani hizo $4bn zinatosha hata kuifikisha Expressway ya kisasa Tabora?
Why msijenge? SGR imejengwa miaka mingapi? Hiyo miaka kila mwezi mnakusanya $2bn mnashindwaje? JNHPP si iliwezekana kwa $3bn hatusikii kelele yako.
Lusaka - Ndola Dual Carroiage way ipo $600m km za Dar Moro. kwenye hayo makusanyo ya $2bn kwa mwezi why mseme mtenge $50m kila mwezi kupeleka 6 way lanes morogoro kwa miezi 36 ikiwa hiyo iwashinde hadi mtafute mwekezaji. What does it mean kila kitu siku hizi kutafuta mwekezaji?
Hiyo reli ya $4bn ulitaka iwe ya $2bn tulete ngija ngija full moshi? Railways inaplay big part kwenye economy.
Msijaribu kujustify incompetence yenu kwenye miradi na matumizi ya mapato kwa kusingizia railways cost. Jenga maana hamna excuse, tushaoneshwa inawezekana
Kwani njia 4 hazijengwi? Kwenu Bukoba hawajengi? Arusha hazijengwi? Mbeya hazijengwi? Dodoma hazijengwi? Mwanza Je? Dar hazijengwi? Mwanza Je? 👇👇Yaani viongozi tulionao sasa hiv...wanaitawala Tanzania kama sio kwao vile. Yaan they don't care.
Tukiendelea hiv kufika 2030 tutakuwa bado tupo tulipo sasa no progress.
Haya basi hawana hela basi jengeni njia nne kwanza kwanza kila mwaka km hata 50 tu...pengine mtapanua baadae...yaan jengeni njia 2 pembeni tu. Mbona nyumba zao za kuishi wanajenga kwa awamu....tembelea Mbweni walikojirundika. Mbona nyumba zao nyingine zinatumia miaka 3 kuisha?
Mimi ningekuwa Rais Dar to Dodoma, Arusha Moshi, Igawa to Tunduma, Mwanza to Busisi, Dar to Bagamoyo road ningezipanua tu kuwa dual carriageway ndani ya miaka mitatu tu.
Sijui wanafeli wap
Niliwaambia watuonyeshe only 5 electric vehicles from Tz wakashindwa😂😂Alafu utaletewa screenshot nyingine hapo unasema they have more electric vehicles.🤣🤣
And the what’s between the 11km in mashamba ya mihogo.Pale Dar ungeandikiwa '11km from CBD'🤣🤣🤣