The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Wakuu kwenye hii picha kuna umaskini mkubwa, angalia.Angalia takatala walizobeba juu ya Hilo lory, Nyumba za Pembeni, hapo ndio bus stop na convenient shopping , Mazingira baada ya barabara😂 kuna ki Nissan sijui caravan kulee kichafuuuuu hadi madirishani kikielezea kuogelea kwenye tope kila kikienda😂
😂😂😂😂 cha mwisho kabisa hili lory lina mtungi wa kuehemea ( kutoa moshi) umeelekezwa nyuma litakua linatema moshi kuliko ile treni ya Kuni.
View attachment 3117660
1. Watu wanaingia na mizigo mizito na mikubwa inayopaswa kubebwa na private car, yn mtu anashindwa hata kulipa ksh1000 (18,000tsh current rate) anaenda kupanda public transport akawabane wenzie.
2. Angalia hiyo electric pole imeshikiliwa na li mti tu means serikali inashindwa kufanya repair ya electric infrastructures na kupelekea damage za mara kwa mara mwishowe ndiyo haya tunayoyaona ya power outage on a daily basis (giza republic).
3. Huo mzigo haueleweki ni mzigo gn, yani jamaa wanabeba kila kitu kama wacomoro aisee, wako hovyoo mnooo.
NB: Hiyo road apo chini ndiyo kielelezo cha Kenya, yn sisi watanzania tukisikia jina Kenya kitu cha kwanza kuja kichwani mwetu ni hilo vumbi hapo chini 👇👇