Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,314
- 18,156
Ulihamisha Mvuti lini kutoka Dar hadi pwani?Mvuti ni Pwani region mzee. 😂😂😂
Ulihamisha Mvuti lini kutoka Dar hadi pwani?Mvuti ni Pwani region mzee. 😂😂😂
City Center mpaka mvuti ni 42km. Hebu tuambie hapo Kundustan umbali wa 42km utakuwa wapi?Ulihamisha Mvuti lini kutoka Dar hadi pwani?View attachment 3115300
Thika town is 50kms away. And you know what? All that stretch is developed all the way from Nairobi to Thika. Tell me if that's the case from Posta to MvutiCity Center mpaka mvuti ni 42km. Hebu tuambie hapo Kundustan umbali wa 42km utakuwa wapi?
View attachment 3115302
Wanawake wa Kenya wanapenda kweli kutoka na wanaume wa Tanzania, wanasema ma handsome alafu wasafi na shughuli wanaijua, wanasema hawapendi wakenya wenzao wengi magovi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣The best 007 umecheka sana, alafu tuanze kampeni ya kuwakirimu hawa vlogger wadada wa Kenya, wasije wakawa wanarudi na upwiru, ni muhimu wapate pia a little episode in Dar, wanapenda sana, nshakula mmoja alafu hata huimbi sana…..wako ready kukirimiwa, akija mwingine pambana naye😅😅😅
Thika ipo Kiambu siyo Nairobi. Acha kutudanganya. Mbona sisi hatuongelei Bagamyo ambayo ipo pwani? 90km from City CenterThika town is 50kms away. And you know what? All that stretch is developed all the way from Nairobi to Thika. Tell me if that's the case from Posta to Mvuti
Uganda Airlines ni Mtoto wa Air TanzaniaCopycats 😂😂😂View attachment 3115306
People who can't invent something of their own
Nilijua tu utamjibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mombasa haina 5 star hotel!
Yes viwanja vipo vingi sn in Dar, huu mji ni mkubwa sn zaidi ya unavyouona kwenye ramani, alafu pia sisi watanzania ni wachache sn ukilinganisha na ukubwa wa nchi yetu, nyie mpo wengi kama panya ndani ya kanchi kadogo lazima mjaze Nairobi nzima with ma slums everywhere.Unataka ushahidi?View attachment 3115237
Bongolala, you said I mention anywhere 42kms away from city center we cpare with Mvuti and I picked on Thika.Thika ipo Kiambu siyo Nairobi. Acha kutudanganya. Mbona sisi hatuongelei Bagamyo ambayo ipo pwani? 90km from City Center
View attachment 3115308
Kwahiyo umeamua kuacha kulinganisha Nairobi na Dar tena? Wewe si umeleta Mvuti au ni mwingine?Bongolala, you said I mention anywhere 42kms away from city center we cpare with Mvuti and I picked on Thika.
Mvuti ipo Dar 42kms away from city center na ni misitu na mashamba ya mihogo. Thika ipo 50 kms away from city center and is developed all the way.
Kama uwepo wa Mvuti ndani ya mipaka ya Dar ingekuwa na umuhimu wowote, Wala haingekuwa misitu.
On the other hand, Thika is slightly outside Nairobi boundaries (but almost the same distance as Mvuti from cbd) but is way better and developed than Mvuti. Sasa uwepo wa Mvuti ndani ya ukubwa wa Dar inaisaidiaje?
Ukubwa wa Dar ingekuwa tu ya maana ikiwa kila eneo ingekuwa developed. Cha ajabu ni kwamba unajivunia ukubwa ambao Kwa uhalisia hauna umuhimu wowote Kwa sababh hizo vichaka za Chanika, Mvuti na maeneo mengine mengi hayachangii ukuwaji wa Dar kivyovyote. Mimi Huwa nacheka tu kila mnapotaja ukubwa wa Dar wakati huo ukubwa sehemu kubwa ni uswazi na vichakaYes viwanja vipo vingi sn in Dar, huu mji ni mkubwa sn zaidi ya unavyouona kwenye ramani, alafu pia sisi watanzania ni wachache sn ukilinganisha na ukubwa wa nchi yetu, nyie mpo wengi kama panya ndani ya kanchi kadogo lazima mjaze Nairobi nzima with ma slums everywhere.
What is the meaning of development in a Kenyan point of viewe?Ukubwa wa Dar ingekuwa tu ya maana ikiwa kila eneo ingekuwa developed. Cha ajabu ni kwamba unajivunia ukubwa ambao Kwa uhalisia hauna umuhimu wowote Kwa sababh hizo vichaka za Chanika, Mvuti na maeneo mengine mengi hayachangii ukuwaji wa Dar kivyovyote. Mimi Huwa nacheka tu kila mnapotaja ukubwa wa Dar wakati huo ukubwa sehemu kubwa ni uswazi na vichaka
20km from CBD are you serious?Were we not talking about ukubwa wa Dar here?
Is Mvuti not in Dar es salaam? You are now trying to find a way to get around this issue. You've always bragged about how big dar is compared to Nairobi and we've always told you that huo ukubwa wa Dar ni neno tu; kwamba sehemu kubwa is undeveloped, kitu hueezipata Nairobi. So next time bongolalas, don't tell us anything about ukubwa wa Dar coz it doesn't make sense at at all.
Naona you mentioned Machakos. But just to remind you you, this is Syokimau in Machakos county not very far from Nairobi. Sasa linganisha na zile vichaka za Chanika na Mvuti
View attachment 3115254View attachment 3115255View attachment 3115256View attachment 3115257View attachment 3115258View attachment 3115259
Nairobi is small geographically yes. Dar is big geographjcally yes but kuna vichaka na mashamba ya mihogo ndani. Sasa huo ukubwa una umuhimu gani?Kwahiyo umeamua kuacha kulinganisha Nairobi na Dar tena? Wewe si umeleta Mvuti au ni mwingine?
You are giving us the proof that Nairobi is very small. So ndon't compare the size of Might Dar es salaam with the tiny Nairobi (Which contains Slums)