Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii imemaliza battle ya downtown, yaani mtu anakwambia kabisa naingia the most dangerous place in the city na bado unaita huo ni mji? Alafu kumepalala balaa……..😅😅

Sasa hapo Vlogger kapagawa na ka kukuta mji umetifuliwa left right and center, ngoja aje akute tushaweka mji wetu in order ndio atatafuta na Bwana huku aolewe kabisa😅😅
The best 007 umecheka sana, alafu tuanze kampeni ya kuwakirimu hawa vlogger wadada wa Kenya, wasije wakawa wanarudi na upwiru, ni muhimu wapate pia a little episode in Dar, wanapenda sana, nshakula mmoja alafu hata huimbi sana…..wako ready kukirimiwa, akija mwingine pambana naye😅😅😅
 
Kwa nini?
Simple tu kama kikwete na IPTL, DOWNS, RICHMOND hakuna zaidi ya ufisadi na Upigaji huku Umeme ukiwa wa shida.

But kwa uthubutu wa JPM, Julius Nyerere Hydroelectric Power (JNHPP) Tumeipata, kitu ambacho no Foreign companies ingeweza ipa Megawati 2015 kwa nchi hii (Pesa ambayo ni mara mbili ya Huyo Adani anayoleta)

Means inawezekana kabisa as long as viongozi wanajua kusimamia wanachotaka.

Mmevuka Lengo za Makusanyo sio Tenga Trillion 2 kufanya hivyo Adani manvyomuitia ili muwe na more control on energy sector ya nchi.

Kwa level za nchii hii Mwekezaji anatakiwa kuanzia na miradi ya $1bn

Tutaelewa, sio uje na $500m utegemee kuwekeza kwenze eneo ambalo serikali imetumia $3bn na unufaike wewe zaidi.
 
Ukubwa wa Dar ni vichaka.? 😂😂😂 kuna vichaka na mashamba in Dar.? Mbona naskia hii kutoka kwako..?
Unataka ushahidi?
Screenshot_20220625-235947~2.png
 
Ingia map, pima from Twin Tower hadi Mvuti ukipata KM, zipeleke from Nairobi CBD uone utatokeleza wapi?

Kama si Machakos huko.

Tembea kijana Dar Kubwa sana, hizo zingine ni Serikali ilikua inazimega from Coastal Region
Ili kuaccomodate population inavyokimbia
 
Ingia map, pima from Twin Tower hadi Mvuti ukipata KM, zipeleke from Nairobi CBD uone utatokeleza wapi?

Kama si Machakos huko.

Tembea kijana Dar Kubwa sana, hizo zingine ni Serikali ilikua inazimega from Coastal Region
Were we not talking about ukubwa wa Dar here?

Is Mvuti not in Dar es salaam? You are now trying to find a way to get around this issue. You've always bragged about how big dar is compared to Nairobi and we've always told you that huo ukubwa wa Dar ni neno tu; kwamba sehemu kubwa is undeveloped, kitu hueezipata Nairobi. So next time bongolalas, don't tell us anything about ukubwa wa Dar coz it doesn't make sense at at all.

Naona you mentioned Machakos. But just to remind you you, this is Syokimau in Machakos county not very far from Nairobi. Sasa linganisha na zile vichaka za Chanika na Mvuti
images - 2024-09-26T174213.681.jpeg
images - 2024-09-26T174154.946.jpeg
images - 2024-09-26T174240.476.jpeg
images - 2024-09-26T174412.411.jpeg
images - 2024-09-26T174303.601.jpeg
images - 2024-09-26T174350.610.jpeg
 
Were we not talking about ukubwa wa Dar here?

Is Mvuti not in Dar es salaam? You are now trying to find a way to get around this issue. You've always bragged about how big dar is compared to Nairobi and we've always told you that huo ukubwa wa Dar ni neno tu; kwamba sehemu kubwa is undeveloped, kitu hueezipata Nairobi. So next time bongolalas, don't tell us anything about ukubwa wa Dar coz it doesn't make sense at at all.

Naona you mentioned Machakos. But just to remind you you, this is Syokimau in Machakos county not very far from Nairobi. Sasa linganisha na zile vichaka za Chanika na Mvuti
View attachment 3115254View attachment 3115255View attachment 3115256View attachment 3115257View attachment 3115258View attachment 3115259
Tembea uone acha kujifungia Kibera. This is a very small town Called Sumbawanga

1728056384886.png

1728056226111.png

1728056295840.png
 
Shamba za mihogo. 🤣 🤣
Sehemu kama hizo zipo
nyingi sana Dar ndugu yangu. These are just a few of such places. Yani totally undeveloped na misitu kwote.
Screenshot_20241004-175113.jpg
Screenshot_20241004-175048.jpg
Screenshot_20241004-174736.jpg
Screenshot_20241004-174650.jpg
Screenshot_20241004-174604.jpg
Screenshot_20241004-174416.jpg
Screenshot_20241004-174451.png

Tell me ni wapi utaenda Nairobi ukutane na sehemu kama hizo hapo juu. Hauwezipata hata utembee hadi wapi.

ALafu kila siku tunaambiwa hapa vile Dar ni kubwa! Kumbe vichaka na mashamba tu
 
Back
Top Bottom