Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yamekuwa ya ovyo kwa sababu management yao ilikuwa mbovu sio kwamba mabasi hayafai kabisa.
Wao basi likiharibika walikuwa wanayapark hawafanyi service. Ndo maana viongozi wengi wa BRT system wamefukuzwa.

But all in all yamefunction kwa muda sasa almost 9 years non stop.
BRT Dar itakuwa na magari aina yote kutegemea na investor na choice zake tho we prefer GNV buses

Tanzania is a developing country and we develop our country together (sio nyinyi ukabila umewajaa...mtu ni kiongozi lakin anachukiwa tu kwa kabila lake hata kama ana point na ana good leadership style. You can't stand as one to develop a nation ndo maana gap za watu kufanya corruption ni kubwa)

Mambo mengi ya BRT system yanasolviwa with time.
Tumelalamika BRT station za BRT 2 kujengwa vibaya yes BRT 3 hawarudii makosa,
Tumesuggest waondoe matuta kwenye BRT system. Yes BRT 2 haina bumbs hata moja ni Automatic traffic control systems zimewekwa
Tumesuggest waongeze mabasi kupunguza congestion during rush hours...yes We expect 200+ buses using gas to be in Dar this December
Another great thing tumesuggest matumizi ya card yarudishwe...yes now we scan and go

And yesterday nimeongea na mkuu mmoja wa Jiji akasema hizo Bajaji na bodaboda ni temporary kwa sababu ya mass construction ya BRT in Dar hata wenyew wanajua. Construction zikiisha Bajaji zitaondolewa kwenye main roads

That's how we develop together as the country.
Kwaiyo bolt ya pikipiki na bajaji ndo itakuwa basi tena katikati ya Jiji?
 
What dou you mean by resources we have. Au bandari, mbuga maziwa sio resources.
Haya ni madini yanayopatikana Kenya waache visingizio.

Mineral occurrences of Kenya
A wide range of minerals, both metallic and industrial, are known to occur in the country. These include barite, gypsum, gold, silver, lead, talc, titanium, salt, a variety of gemstones, (mainly ruby and several varieties of garnets) dimension stones, silica sand, heavy mineral sands, manganese, zinc, wollastonite, graphite, kaolin, copper, nickel, chromite, pyrite, various clays, rare earth elements and pyrochlore.

The Geological environments for the mineralization can be summarised as follows:

The Archean Nyanzian Craton area of Western Kenya where metallic mineralization of base and precious metals are known to occur: gold, copper and silver have been mined in the past. They are also potential for ferrous and no-ferrous metals. Kimberlitic bodies have also been reported.

The Proterozoic Mozambique Belt that is most extensive in middle parts of Kenya, north to South, in which minerals such as kyanite, corundum, graphite, wollastonite, marble, asbestos, fluorspar, magnesite, kaolin and a variety of gemstones are found together with minerals associated with basic and granitic rocks.

The sedimentary rocks of Palaeozoic to Quaternary are widespread. These rocks are sources and hosts of limestone, gypsum, clays, manganese, construction materials and hydrocarbons. Base metal mineralization, lead-zinc-barite and copper are known to occur in the sedimentary basins along the Coastal belt.

Heavy mineral sands also occur along the coastal ranges and recently deposits of about 3.2 billion tons of titanium bearing sands have been discovered and are being mined.

The volcanic rocks associated with the Rift System host a variety of minerals and construction materials. The volcano-sedimentary accumulations have deposits of clays, evaporites, trona (soda ash), diatomite, natural carbon dioxide, kunkar and gypsum. Gem quality rubies have recently been discovered.
Carbonatites are known to be host of several minerals found in the Nyanzian shield area, around Lake Victoria shores and in the southern part of the coastal sedimentary basin. Mrima, one of the carbonatites known for potential of niobium and rare earth elements (REE) is found in the coastal basin, south of Mombasa. Other sources include Buru, Homa, Ruri and Rangwa hills in western Kenya.
 
You are just poor in writing, be it English ama Kiswahili. You sentence construction is always poor 😂
Kundudweller. Hebu nieleze kuhusu scrap Metal huwa unapanda?

1728291581573.png
 
Kundudweller. Hebu nieleze kuhusu scrap Metal huwa unapanda?

View attachment 3117605
Angalia takataka walizobeba juu ya Hilo lory, Nyumba za Pembeni, hapo ndio bus stop na convenient shopping , Mazingira baada ya barabara😂 kuna ki Nissan sijui caravan kulee kichafuuuuu hadi madirishani kikielezea kuogelea kwenye tope kila kikienda😂

😂😂😂😂 cha mwisho kabisa hili lory lina mtungi wa kuehemea ( kutoa moshi) umeelekezwa nyuma litakua linatema moshi kuliko ile treni ya Kuni.

IMG_7096.jpeg
 
Hii game ilichezwa wapi!!?
Screenshot_2024-10-07-12-19-01-09_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-10-07-10-49-16-14_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-07-12-19-01-09_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-10-07-12-19-01-09_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    122.1 KB · Views: 12
  • Screenshot_2024-10-07-10-49-16-14_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-10-07-10-49-16-14_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    337.8 KB · Views: 13
Angalia takatala walizobeba juu ya Hilo lory, Nyumba za Pembeni, hapo ndio bus stop na convenient shopping , Mazingira baada ya barabara😂 kuna ki Nissan sijui caravan kulee kichafuuuuu hadi madirishani kikielezea kuogelea kwenye tope kila kikienda😂

😂😂😂😂 cha mwisho kabisa hili lory lina mtungi wa kuehemea ( kutoa moshi) umeelekezwa nyuma litakua linatema moshi kuliko ile treni ya Kuni.

View attachment 3117660
Kwann hawa jamaa wanatumia gari za zamani namna hii????
 
So, msomali ni mkenya? Huoni aibu? Hebu post picha uone jinsi ulivyo tofauti na huyo.
Unaona msomali hapo wapi wewe watchman? Kwamba hujui somali ladies huvaa hijab hata kwenye michezo?

Secondly, hujui kwamba northern eastern Kenya ni nchi ya wasomali Kwa asilimia 90?.

Cha mwisho, don't you know that Kenyan somalis are Kenyans? Wako na vitambulisho za kenya, and that they are represented in Parliament as well as government?
 
Back
Top Bottom