buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
This oneWhat is the meaning of development in a Kenyan point of viewe?
So Agricuulture is not development? What about slums?
Where did I mention 20km? Unapagawa?20km from CBD are you serious?
Bongolala, you said I mention anywhere 42kms away from city center we cpare with Mvuti and I picked on Thika.
Mvuti ipo Dar 42kms away from city center na ni misitu na mashamba ya mihogo. Thika ipo 50 kms away from city center and is developed all the way.
Kama uwepo wa Mvuti ndani ya mipaka ya Dar ingekuwa na umuhimu wowote, Wala haingekuwa misitu.
On the other hand, Thika is slightly outside Nairobi boundaries (but almost the same distance as Mvuti from cbd) but is way better and developed than Mvuti. Sasa uwepo wa Mvuti ndani ya ukubwa wa Dar inaisaidiaje?
Wewe kima hiyo Nairobi nzima +national park within ni size ya Ilala district alone. 😂😂😂Ukubwa wa Dar ingekuwa tu ya maana ikiwa kila eneo ingekuwa developed. Cha ajabu ni kwamba unajivunia ukubwa ambao Kwa uhalisia hauna umuhimu wowote Kwa sababh hizo vichaka za Chanika, Mvuti na maeneo mengine mengi hayachangii ukuwaji wa Dar kivyovyote. Mimi Huwa nacheka tu kila mnapotaja ukubwa wa Dar wakati huo ukubwa sehemu kubwa ni uswazi na vichaka
You have agreed that Nairobi is small. Now explain why there are hundreds of slums for such a small size?Nairobi is small geographically yes. Dar is big geographjcally yes but kuna vichaka na mashamba ya mihogo ndani. Sasa huo ukubwa una umuhimu gani?
Hili Eneo Lina ukubwa gani.?
Udogo wa nairobi na ndani kuna slums+ national park + pori tengefu na ni size moja na ilala. Sasa huyo fala anabishana nini.? 😂😂😂You have agreed that Nairobi is small. Now explain why there are hundreds of slums for such a small size?
Kuna ubaya gani sasa hapo we fala?dar kila leo inaongezeka watu,nikupe tu mfano mimi kuna sehemu nilinunua hapo dar sqr metre 800 (20 m ×40 m)kwa Tzs compare usd 800 mwaka 2018,miaka 6 now watu kule wanauziwa 20 m × 20 m kwenye usd 4000,mji unakua pimbi weweSehemu kama hizo zipo
nyingi sana Dar ndugu yangu. These are just a few of such places. Yani totally undeveloped na misitu kwote.
View attachment 3115275View attachment 3115276View attachment 3115284View attachment 3115285View attachment 3115287View attachment 3115289View attachment 3115290
Tell me ni wapi utaenda Nairobi ukutane na sehemu kama hizo hapo juu. Hauwezipata hata utembee hadi wapi.
ALafu kila siku tunaambiwa hapa vile Dar ni kubwa! Kumbe vichaka na mashamba tu
I think jielimishe kidogo Mvuti ilikatwa Pwani, na Mkoa wa Pwani una Pori Tengefu linalopakana na Dar which means halitakiwi.kuguswa na Binadamu, with Dar Expansion serikali ilifanyia exception ya Kulimega eneo la Pori la pwani kuwa Eneo la Dar kuupa Mkoa wa Dar nafasi ya kuaccomodate population.Bongolala, you said I mention anywhere 42kms away from city center we cpare with Mvuti and I picked on Thika.
Mvuti ipo Dar 42kms away from city center na ni misitu na mashamba ya mihogo. Thika ipo 50 kms away from city center and is developed all the way.
Kama uwepo wa Mvuti ndani ya mipaka ya Dar ingekuwa na umuhimu wowote, Wala haingekuwa misitu.
On the other hand, Thika is slightly outside Nairobi boundaries (but almost the same distance as Mvuti from cbd) but is way better and developed than Mvuti. Sasa uwepo wa Mvuti ndani ya ukubwa wa Dar inaisaidiaje?
Syokmau ipo 20km from CBDWhere did I mention 20km? Unapagawa?
You shouldn't even mention the word slum because your entire city is a slum, right from the city centerSo Agricuulture is not development? What about slums?
Insha refu ya nini? As things stand now, dunia yote inajua kwamba Mvuti ipo Dar.I think jielimishe kidogo Mvuti ilikatwa Pwani, na Mkoa wa Pwani una Pori Tengefu linalopakana na Dar which means halitakiwi.kuguswa na Binadamu, with Dar Expansion serikali ilifanyia exception ya Kulimega eneo la Pori la pwani kuwa Eneo la Dar kuupa Mkoa wa Dar nafasi ya kuaccomodate population.
Sasa Ikiwa eneo kwa miaka mingi hairuhusiwi kufanya shughuli za Kibinadamu unataka likimegwa ukute mansio?
Unaleta Syokmau ambayo ipo 20km from CBD serious wakati unakuta kuna Sehemu kama Mbweni, Bunju, Mbezi ya Kimara, Goba, Ziko more than 30km from CBD
Sawa. Amini hivyo.Insha refu ya nini? As things stand now, dunia yote inajua kwamba Mvuti ipo Dar.
Sijaelewa justification yako ni nini? Also unaweka Picha za 2013 wakati wa ujenzi wa BRT 1.You shouldn't even mention the word slum because your entire city is a slum, right from the city centerView attachment 3115333
...to the suburbs View attachment 3115338
Tukikomelea msumari utakimbia JF sasa hivi 🤣 🤣 🤣 🤣Insha refu ya nini? As things stand now, dunia yote inajua kwamba Mvuti ipo Dar.
That doesn't change the fact that Nairobi is ahead of Dar.Wewe kima hiyo Nairobi nzima +national park within ni size ya Ilala district alone. 😂😂😂
Nioneshe ya 2024 kama kuna kitu kimechangeSijaelewa justification yako ni nini? Also unaweka Picha za 2013 wakati wa ujenzi wa BRT 1.
Na Kibera ipo Nairobi, au unabisha?😎...dunia yote inajua kwamba Mvuti ipo Dar.
Ahead kwa kipi.? Misitu au.?That doesn't change the fact that Nairobi is ahead of Dar.
If we were to use size as a measure of development, Dar would be more developed than New York