Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who care nyang'au,kama nikiandika au kuongea lugha ambayo sio yangu ww inakusaidia nn,while pamoja na kujikakamua na kujifanya kuongea broken english still nyinyi ni maskini wa kutupwa ukanda huuView attachment 3115901
Na mimi nimejipanga nikajenge full suite zangu 30 kule kwenye slums nile hela ya hawa wakora. 😁
 
Haipo kwenye Constitution wala Law. Thank you to prove that Nairobi Metropolitan does not exists.
Have you ever heard of NAMATA?

1728131248955.png
 
Mzee usituhangaishe na Union hapa. Official information from the Law and Constitution ya Kenya Nairobi is a County period.

Mengine ni Uhuru alikuwa anakula pesa zenu.
There is Nairobi County and Nairobi Metropolitan. Ni nini ngumu kuelewa hapo?😂😂🤣😂
 
Have you ever heard of NAMATA?

View attachment 3116056
Umeanza kuleta tena Project. This is a project


The Nairobi Metropolitan Area Transport Authority
(NaMATA) was established by an Executive Order through Legal Notice No.18 of 17TH February 2017 with the main mandate of overseeing the establishment of an integrated, efficient, effective and sustainable public transport system within the Nairobi Metropolitan Area (NMA). The NMA is made up of Kajiado, Kiambu, Machakos, Murang’a and Nairobi City counties. NaMATA's principal objective is to oversee the establishment of a safe, integrated, efficient, effective, and sustainable public transport system within the Nairobi Metropolitan Area.
 
Hakuna infrastructure ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar, lkn kuna infrastructures nyingi zipo Dar na hazipo East and central Africa.
Ukinionyesha expressway in Dar nayoka JF
Ukinionyesha underpass in Dar natoka JF
Ukinionyesha Aquatic Stadium Dar nayoka JF
 
Umeanza kuleta tena Project. This is a project


The Nairobi Metropolitan Area Transport Authority
(NaMATA) was established by an Executive Order through Legal Notice No.18 of 17TH February 2017 with the main mandate of overseeing the establishment of an integrated, efficient, effective and sustainable public transport system within the Nairobi Metropolitan Area (NMA). The NMA is made up of Kajiado, Kiambu, Machakos, Murang’a and Nairobi City counties. NaMATA's principal objective is to oversee the establishment of a safe, integrated, efficient, effective, and sustainable public transport system within the Nairobi Metropolitan Area.
NAMATA is a project for Nairobi metropolitan😂😂🤣😂.

I showed you that to tell you that Nairobi Metropolitan is constitutionally recognized😂😂🤣

It’s good now you know that NAMATA means Nairobi Metropolitan😂😂🤣😂
 
Mbona KDF hawakuwa wanasupervise expressway?😂😂🤣😂.

Why should they supervise Talanta na sio expressway?🤣🤣😂
Barabara ulitegemea nani afanye supervision kama sio KENHA?
Other civil works KDF department wanaweza ku supervise sababu serikali haina hela ya kuweka consultant nje ya circle ya serikali.
 
Barabara ulitegemea nani afanye supervision kama sio KENHA?
Mbona Talanta isikuwe suoervised na body incharge of sports basi? For your information hata KENHA didn’t supervise Nairobi expressway. 😂😂🤣😂
 
Childish projects. Dar haiwezi ikawa na project hizo za kitoto.

Dar es Salaam has adulthood projects
Thanks for accepting that Nairobi has infrastructure zenye huezipata Dar😂🤣😂👏👏
 
NAMATA is a project for Nairobi metropolitan😂😂🤣😂.

I showed you that to tell you that Nairobi Metropolitan is constitutionally recognized😂😂🤣

It’s good now you know that NAMATA means Nairobi Metropolitan😂😂🤣😂
Tell us which law created Nairobi metropolitan
 
Hizo taa siyo za footbal ni za sherehe za matamasha ya mziki.

In Kenya there is no stadium with lights to play football


View attachment 3116010

🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

View attachment 3116015
Hawa ndiyo maana mpaka leo hawana even a single CAF approved stadium, imagine wamepoteza pesa kujenga huu ushuzi na wanataka wapewe approval 👇👇🤣🤣🤣🤣
1728126844837.jpeg

1728123414668.jpeg

Wameweka chemli kwa ajili ya tamasha anakuambia ni kwa ajili ya mechi, mbn hakuna wachezaji sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Viwanja vingi alivyoweka humu havifiki hata 5000 capacity, jamaa wababaishaji kinoma 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom