Weka ushahidi basi?
Maana ukigoogle tu Kenya SGR unakuata kila taarifa ya mchina kufund kujenga, kusaidia etc na Debt burden.
Na unakuta ni $3bn Kenya Most expensive infrastructure na imeishia porini huku mchina akikusanya pesa zake za madeni.
While Kuna JNHPP $3bn full funded by GOT (Ukibisha lete kabisa na Ushahidi kijana) wala hatuwazi sana.
SGR ipo $30bn still GDP Surplus inasoma positive na inatoboa Tabora, Shinyanga, Mwanza.
Nyie baada ya SGR tu Kenya imekua Nchi yenye deni kubwa la China Africa.