Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeleta yenu ya 2017 yetu ya 2015...2017 hakukua na alshabab
Hatutaki sababu za kuhalalisha kushindwa, mbona sisi tulivyokuwa vitani miaka mingi vya ukombozi kusini mwa Afrika na vile vya kumtoa Idd Amin, ninyi mlikua busy kujenga uchumi wenu leo mnajisifia na GDP kubwa sisi hatutumi sababu ya hivyo vita?
 
Acha ufala Ufala unataka nikutafunie maandishii......Kama umeshindwa kamuete mwalimu wakikenya..........
Nachokufurahia ni kwamba unatukana lakini unajifunza na kurekebisha ,mbona now umeweza nyosha maneno vizur kijana hongera sana bt umekosea neno moja ..hatusemi kamuete ila tunasema kamwite hahahahah
 
Mnafuatilia wakenya namjui vile wanabonga....otherwise asante kwa kunikosoa
 
C.ma2c....niilemnafuatilia news za kenya kama vile senge anamfuatafuata mbuzi on the bad things Na nyie mnazo chungu mzima na on the goodies tunawachapa 60 for nothingl
Sasa wewe uliponitaka nikuletee ushahidi wa njaa ulitaka nikatae kwasababu ni bad news?, mimi nilikubaliana na ombi lako na nikakuletea ushahidi, kama ni bad news mbona rais wenu amezungumzia njaa kasarani mbele ya wananchi wote?, mbona magazeti yenu yanaandika juu ya njaa?, sasa ukificha njaa, China of Africa itafahamu vipi kwamba mna njaa ili iruhusu chakula kuja huko kama inavyofanya miaka yote?
 
When one is well conversant in the Queens language, can express himself confidently anywhere and with anyone in the world. ******** lacks those qualities and so are most Tanzanians...The only forums they can venture freely is JF and wouldn't dare Nairaland, Skyscraper or even JamiiForums.com.

Punguza hasira na wivu rudi darasani.
Kingereza kimewa saidia kupunguza njaa na ukabila,eti?
 
Sasa wewe uliponitaka nikuletee ushahidi wa njaa ulitaka nikatae kwasababu ni bad news?, mimi nilikubaliana na ombi lako na nikakuletea ushahidi, kama ni bad news mbona rais wenu amezungumzia njaa kasarani mbele ya wananchi wote?, mbona magazeti yenu yanaandika juu ya njaa?, sasa ukificha njaa, China of Africa itafahamu vipi kwamba mna njaa ili iruhusu chakula kuja huko kama inavyofanya miaka yote?
China of Africa...na Sudan iwajui
 
Hatutaki sababu za kuhalalisha kushindwa, mbona sisi tulivyokuwa vitani miaka mingi vya ukombozi kusini mwa Afrika na vile vya kumtoa Idd Amin, ninyi mlikua busy kujenga uchumi wenu leo mnajisifia na GDP kubwa sisi hatutumi sababu ya hivyo vita?
2003 tulikua na uchumi karibu same..2017 uchumi wenu umeachwa na 25 billion..where did the rain start beating u
 
sonko joh? ati mashoga
Capture.PNG
 
Back
Top Bottom