ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nilikua namuonesha shoga wakimombasa😀😀Sasa unatuonyesha tufanyie nini?
Nilikua namuonesha shoga wakimombasa😀😀Sasa unatuonyesha tufanyie nini?
Wewe nlikuambia utafutwa kazi na jamii yani unashindwa kucontain wakenyaNaona umetuandikia barua ya mapenzi😀😀😀
Weka hapa picha ya ujenzi bla bla waachie mademNikuonyeshe na tiari unajua....ciunanipima ama
Nyie walalas mkishindwa mnakimbia kwa43%......mkiishiwa ama....kama GDP tumewaacha na mbali Bona usengeTafuta mwenyewe hizi taarifa siko nazo peke yangu, hata wewe ukizitafuta katika website ya WB utazipata, mkiletewa facts mnapotea kimyakimya
Kwa nini ametumia kisumu kwa background ya twitter?? Ama ni mkenyathis goes out to edward wanjala for hating azam tv and other kenyans for underestimating the competence of tanzanians in one way or onother.
congrats to azam tv crew for their plausible work in kenya during
cecafa tournaments.mwenye wevu ajinyonge.
azam tv's digisuper lens shinning in kenya.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wanjala,wherever you are pole sana...najua roho inakuuma sana huko uliko...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Number of Kenyans going hungry doubles to three millionIyo ni porojo zako.nitajie wakenya wana njaa. Achana na maneno yah raid we2
Picha za mwisho mbili...usitake Niki aibishe hapa...nmeziconfirm googleNew kijitonyama data center, modern and high tech data center in east and central africa😀😀😀😀
View attachment 650383 View attachment 650384 View attachment 650385 View attachment 650386 View attachment 650387
Wewe tafuta jiwe iko na joto ingiza kwa ass yakoWewe utaanza kuokota makopo baada ya kugundua Kenya mumeachwa nyuma katika mambo mengi, suluhisho sio kutoa povu, kaeni chini mjiulize ni kwa jinsi gani mtaweza kurekebisha
1)Utalii wenu uweze kuongeza mapato
2)Ukuaji wa uchumi angalau ufikie 6%
3)Kuongeza uzalishaji wa chakula ili kupunguza njaa, na kupunguza utegemezi wa chakula toka Tanzania
4)Kupunguza kiwango cha unemployment kiwe chini ya 30%
5)Kupunguza rushwa inayozamisha uchumi wenu
6)Kupambana na tribalism
7) Kupambana na insecurity
Achane kujilinganisha na nchi iliyotulia na inayopiga hatua kwa kasi sana, hii ni China ya Africa, peaceful, stable economy growth, no hunger, no tribalism, no corruption, low level of poverty, nani asiyependa kuja kuishi Bongo?
Naitafuta naona 68 %Tafuta mwenyewe hizi taarifa siko nazo peke yangu, hata wewe ukizitafuta katika website ya WB utazipata, mkiletewa facts mnapotea kimyakimya
Mtafute wanjala alikimbia mwenyewe😀😀😀Picha za mwisho mbili...usitake Niki aibishe hapa...nmeziconfirm google
Wapi evidences??
Sasa maana ya kuwa na GDP kubwa, lakini masikini ni wengi, nini faida ya GDP?, ni watu kichaa kama wewe anayeweza kusherehekea utajiri wa baba yake lakini nyumbani hawana chakula wala nyumba ya kuishiNyie walalas mkishindwa mnakimbia kwa43%......mkiishiwa ama....kama GDP tumewaacha na mbali Bona usenge
Hapana, bado hamjafikia huko, ni 43%, ngoja nikuletee the new oneNaitafuta naona 68 %
Angalia umechemsha taarifa ya march na tunaelekea 2018 na uchanguzi ishaa isha..........Bana grow up nataka wa huu mweziNumber of Kenyans going hungry doubles to three million
Ninakubaliana na wewe kwa kitendo cha kutokumuamini rais wenu aliposema Kenya ina njaa kwa sababu yule anavuta bangi, ni vigumu kumuamini, ushahidi huo hapo wa uhakika
Ninakuelewa sana COLLO, ngoja nitapunguza hayo mashambulizi kidogoWewe tafuta jiwe iko na joto ingiza kwa ass yako

Collo hua anatoa povu 😀😀😀😀Ninakuelewa sana COLLO, ngoja nitapunguza hayo mashambulizi kidogo![]()
![]()
![]()
Ila huwa penye ukweli anajua nabkukubali hata kama anaumia.Collo hua anatoa povu 😀😀😀😀
Onyesha taarifa inayoonyesha kwamba hali ya upatikanaji wa chakula imeimarika, japo humuamini Uhuru Kenyatta kwa sababu anavuta bangi, lakini juzi amethibitisha kwamba njaa bado ni janga la taifa huko kwenuAngalia umechemsha taarifa ya march na tunaelekea 2018 na uchanguzi ishaa isha..........Bana grow up nataka wa huu mwezi
wow!!..candid analysis.Wewe utaanza kuokota makopo baada ya kugundua Kenya mumeachwa nyuma katika mambo mengi, suluhisho sio kutoa povu, kaeni chini mjiulize ni kwa jinsi gani mtaweza kurekebisha
1)Utalii wenu uweze kuongeza mapato
2)Ukuaji wa uchumi angalau ufikie 6%
3)Kuongeza uzalishaji wa chakula ili kupunguza njaa, na kupunguza utegemezi wa chakula toka Tanzania
4)Kupunguza kiwango cha unemployment kiwe chini ya 30%
5)Kupunguza rushwa inayozamisha uchumi wenu
6)Kupambana na tribalism
7) Kupambana na insecurity
Achane kujilinganisha na nchi iliyotulia na inayopiga hatua kwa kasi sana, hii ni China ya Africa, peaceful, stable economy growth, no hunger, no tribalism, no corruption, low level of poverty, nani asiyependa kuja kuishi Bongo?

Onyesha taarifa inayoonyesha kwamba hali ya upatikanaji wa chakula imeimarika, japo humuamini Uhuru Kenyatta kwa sababu anavuta bangi, lakini juzi amethibitisha kwamba njaa bado ni janga la taifa huko kwenu
