ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
shida gani kama ukabila huo ni wakwenu na wakikuyu ndio walioanzisha ukabilautafutwa kazi..umeshindwa
shida gani kama ukabila huo ni wakwenu na wakikuyu ndio walioanzisha ukabilautafutwa kazi..umeshindwa
unajua FDI ni nini?Akili yako ni mbovu sana, FDI.. Tanzania inapata $2B kwa mwaka, Kenya inapata $600M..huna data acha kujidhalilisha, kama unabisha lete data inayoonyesha Kenya kupokea FDI zaidi ya Tanzania, tumewaacha kwa mbali sana kwenye FDI, hata Uganda imewapita kwa mbali sana kwenye FDI. Tatizo wakenya hamjui mambo mengi duniani, ndiyo sababu uchumi unaporomoka kwa kasi
FDI - TanzaniaInvestunajua FDI ni nini?
http://www.sciedu.ca/journal/index.php/ijba/article/download/4772/2770unajua FDI ni nini?
nataka uweke FDI ya TZ.. Na ya kenya sio story mingihttp://www.sciedu.ca/journal/index.php/ijba/article/download/4772/2770
Soma ujielimishe juu ya impact of terrorism on Kenya FDI
https://www.researchgate.net/public..._Foreign_Direct_Investment_Inflow_in_Tanzaniaunajua FDI ni nini?
nataka uweke FDI ya TZ.. Na ya kenya sio story mingi
https://www.researchgate.net/public..._Foreign_Direct_Investment_Inflow_in_Tanzaniaunajua FDI ni nini?
nataka uweke FDI ya TZ.. Na ya kenya sio story mingi
Karibu bro!Hongereni wakenya... Mnachanja mbuga na mnajitambua.. Natamani kuishi kenya nchi inayoongoza kwa uchumi east Africa, democracy pana, elimu kubwa, utalii lukkuki, watu mnajivunia nchi yenu I wish niwe mkenya...
Dar es salaams left right and centre a Kenyan company lazima.A Kenyan forumer will ignore everything in this photo and focus on , see! That’s I&M Bank doing charity in LDC
![]()
Mbona umeshindwa kuthibitisha kauli yako kwamba Kenya inaizidi Tanzania katika FDI?, kumbe ulikuwa unaota?, hata FDI ulikua hujui maana yake ninini, kwa taarifa yako hii ndiyo hali ya FDI katika EAC,nataka uweke FDI ya TZ.. Na ya kenya sio story mingi
pesa hufata pesa na sio vinginevo na ndio maana kila nchi wanakuja kuekeza tanzania😀😀Dar es salaams left right and centre a Kenyan company lazima.
Wapi link?Mbona umeshindwa kuthibitisha kauli yako kwamba Kenya inaizidi Tanzania katika FDI?, kumbe ulikuwa unaota?, hata FDI ulikua hujui maana yake ninini, kwa taarifa yako hii ndiyo hali ya FDI katika EAC,
1)Tanzania $2.1B
2)Uganda $1.2B
3)Kenya $600M
4)Rwanda $300M
Tanzania FDI = UG + KE + RW + change