sioni matusi hapoNonsense as usual ,tukianza kutukana hapa hii thread itakuwa chungu kama shubiri hakutakalika hapa
Jiheshimu basi .
Hasira hasara asiyekubalikushidwa......c.....Twende Uhuru park tukashuhudie majobless mpuuzi indeed!
PovuNonsense as usual ,tukianza kutukana hapa hii thread itakuwa chungu kama shubiri hakutakalika hapa
Jiheshimu basi .
Momabasa yah tz Alafu uwaskie watz wakindai wanajua kiswahiliMomabasa vs lindi
Hasira hasaracopy to Moderator
Nonsense hakuna cha maana ulichoandika😀😀😀Umeipenda yani imekuchoma ndaaaani ya roho.
Itaisha vp na kuanza haijaanza😀😀😀😀😀Wacha pinnacle iiisheeeee......uji utakua Tanzania vs pinnacle wAtakimbie mbila kulazimishwa...
Kinachokuuma wewe kuona zanzibar iko tanzaniaHao ss wakenya tuwajui......fact remain tz ni country na Zanzibar vile vile....beyond that nimuungano
Utupe wewe nani???wakati zanzibar iko tanzania leo miaka 60😀😀😀😀😀Watz wana point wanataka kuiba south Africa wa battle na kenya Nanina facts kwanza ichoboy na ndinda lkn Hanna shinda...2mewapa hadiZanzibar

Obama sio mkenya, ni mjaluoObama mkenya alikua rais wa marekani.........inchoboy elaborate further..........
Hasira hasaraItaisha vp na kuanza haijaanza😀😀😀😀😀
Woii mtz ..hamnachochote isipokua tower mbiliKinachokuuma wewe kuona zanzibar iko tanzania
Utaumia sana safari hii na zanzibar tunaijenga sisi kwa speed zote kaeni mkao wa kula😀😀😀😀
Hasira hasaraUtupe wewe nani???wakati zanzibar iko tanzania leo miaka 60😀😀😀😀😀
New kijitonyama data center, modern and high tech data center in east and central africa😀😀😀😀Data centre and the president holding a video conference.
View attachment 650340 View attachment 650341
siwez kua na hasira wakat ndege wakwangu mwenyewe manati ya nini??😀😀😀😀😀Hasira hasara
Hasira hasaraObama sio mkenya, ni mjaluo
Wenzako wakina nairobi walker walikimbia humu baada ya kuanza kuhesabu over 20fl 😀😀😀😀😀Woii mtz ..hamnachochote isipokua tower mbili