Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnafuatilia wakenya namjui vile wanabonga....otherwise asante kwa kunikosoa
Mnabonga kiswahili ndio maana ukikosea tunakurekebishA ..unadhan ungeongea kijaluo ningehangaika kukurekebisha ???kikubwa jukwaa hili linafanya mnaimprove sana kwenye kuongea na kuandika kiswahili safi sana hahahahahaa mtajua tu kiswahil in hard or soft way
 
  • Thanks
Reactions: nao
IMG_20171125_124320.jpg

From my own camera
 
2003 tulikua na uchumi karibu same..2017 uchumi wenu umeachwa na 25 billion..where did the rain start beating u
Issue hapa ni kwamba sisi tulipita kipindi kigumu wakati ninyi mlikuwa mnajenga uchumi, kama tulikua sawa au sio sawa hiyo sio issue, kwahiyo hakuna kutoa sababu za ninyi kufanya vibaya kwa kusingizia Alshaabab
 
Issue hapa ni kwamba sisi tulipita kipindi kigumu wakati ninyi mlikuwa mnajenga uchumi, kama tulikua sawa au sio sawa hiyo sio issue, kwahiyo hakuna kutoa sababu za ninyi kufanya vibaya kwa kusingizia Alshaabab
anawasingizia alshabab wakati safari hii 2017 hata watalii 700k hawajafkisha😀😀😀😀😀😀😀
wameraruana kwenye uchaguzi vibaya mno
 
anawasingizia alshabab wakati safari hii 2017 hata watalii 700k hawajafkisha😀😀😀😀😀😀😀
Hiyo nchi inaporomoka katika sector zote za uchumi, na kila sector wanatafuta sababu ya kuhalalisha kuporomoka kwake, hiyo ni dalili ya nchi kufilisika, hata Greece walianza hivyo hivyo na walikuwa wanatoa sababu kila siku
 
Issue hapa ni kwamba sisi tulipita kipindi kigumu wakati ninyi mlikuwa mnajenga uchumi, kama tulikua sawa au sio sawa hiyo sio issue, kwahiyo hakuna kutoa sababu za ninyi kufanya vibaya kwa kusingizia Alshaabab
kipindi gani kigumu..post elections violence,alshabab,raila, etc na bado hamjawai tukaribia
 
Huna exposure. Na bado unamawazo ya kitumwa. Nenda china, russia, German nk kama utaona upumbavu wa namna hiyo. Watu wanatunza tamaduni zao.
Kiswahili sio tamaduni yenu babaa...Wachina ni wachina juu hawana kabila lingine vile vile warusi, wajerumani nk nyie mna makabila mengi mbona huzingatii Kisukuma, kihehe, kinyamwenzi nk?
 
1. Nancy Asiko Onyango: Director of the Fund’s Office of Internal Audit and Inspection (OIA), IMF.
images-4.jpeg

International Monetary Fund (IMF) Managing Director Christine Lagarde has announced the appointment of Kenyan national Nancy Asiko Onyango as Director of the Fund’s Office of Internal Audit and Inspection (OIA). The OIA conducts independent examinations of the IMF’s internal control and governance processes.
Ms. Onyango will succeed Clare Brady who left the Fund earlier this Fall. Her appointment will take effect in February 2018.
“Ms. Onyango brings to the Fund more than 25 years of experience ininternal audit, strategic risk management, corporate governance, and IT risk management,” Ms. Lagarde said. “In addition to her extensive assurance and corporate governance experience, Nancy is passionate about empowering women and girls, notably in harnessing their leadership potential. She is a Global Give Back Circle mentor to girls from disadvantaged backgrounds.”
“I have full confidence that the OIA will continue to thrive under Nancy’s leadership,” Ms. Lagarde said.
Ms. Onyango has significant international, continental and regional experience gained in the United Kingdom, Europe, and Africa. She has worked across several industry sectors, including financial services, and with several governments, development agencies, and non-governmental organizations. Most recently, she was the CEO at Reliance Risk Advisory Solutions based in Kenya. Before that she was a Partner at PricewaterhouseCoopers, Kenya.
She is a Certified Public Accountant (CPA). She holds a doctorate degree in Business Administration from the United States International University—Africa in Nairobi in conjunction with the Columbia Business School, specializing in gender leadership and organizational change management, amongst other degrees. Nancy also holds several international certifications from global institutions such as the Information Systems Audit and Control Association and the Institute of Internal Auditors.

IMF MD Christine Lagarde Appoints Kenyan National Nancy Asiko Onyango as Director of Internal Audit
 
Kitu gani mumeizidi Tanzania ukiondoa GDP ya kupikwa?
labda nyanyako ndio alipika....
GDP per capita ndio kusema..nitajie the following;
1.literacy rate(masomo)
2.Life expectacy(good heath care)
3.infrastructure(that can speak for itself)
4.internet penetration(90%)
5.Technology(mpesa mnatumia kwenu)
6.education(4 UNIVERSITIES ARE ABOVE DAR UNIVERSITY))
7.FDI
8.Low infant mortality rate
9.more than 2 times revenue TANZANIA is colleced by KRA
10.kenya is just ahead in all apects
 
labda nyanyako ndio alipika....
GDP per capita ndio kusema..nitajie the following;
1.literacy rate(masomo)
2.Life expectacy(good heath care)
3.infrastructure(that can speak for itself)
4.internet penetration(90%)
5.Technology(mpesa mnatumia kwenu)
6.education(4 UNIVERSITIES ARE ABOVE DAR UNIVERSITY))
7.FDI
8.Low infant mortality rate
9.more than 2 times revenue TANZANIA is colleced by KRA
10.kenya is just ahead in all apects
Akili yako ni mbovu sana, FDI.. Tanzania inapata $2B kwa mwaka, Kenya inapata $600M..huna data acha kujidhalilisha, kama unabisha lete data inayoonyesha Kenya kupokea FDI zaidi ya Tanzania, tumewaacha kwa mbali sana kwenye FDI, hata Uganda imewapita kwa mbali sana kwenye FDI. Tatizo wakenya hamjui mambo mengi duniani, ndiyo sababu uchumi unaporomoka kwa kasi
 
Back
Top Bottom