Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuna njaa wala slums, umasikini ni 22%, unemployment ni 26%, Hospitali zetu ni best katika East and Central Afrika, tunajenga electrical railway, very low level of corruption, no tribalism, very peaceful country, very good public transport system,...nini zaidi unataka?
GDP ngapi
 
Ni kweli hatutoweza kufikia kiasi cha njaa, rushwa, ukabila, insecurity, na umasikini wenu, kwasababu trend inaonyesha umasikini Tanzania unazidi kupungua wakati Kenya unaxidi kuongezeka
Nyie mnakimba opepo....ligi yenu ni Malawi burudi
 
this post is for kenyans only:

while you are bragging about your universities over petty issues of beautiful buildings and blablabla,here is a short list of international (non tanzanians) famous alumni of university of dar es salaam who thereafter held/hold powerful positions in their countries including head of state.

23d309517f25789a4b199faec472720c.jpg
2edf8a82fe30342b3961a07b63b3ab49.jpg
3d1225d196250e2888edebde91036f2c.jpg
4bc0b0d954091efecd7ec052f8f1aa51.jpg
a7c351f0f25cdde05a2e87b5da712b0e.jpg
56d5650f3683493d8f34a353d75a6346.jpg
b486bd0f9b3eff3374f5dcf8d4a7b9ee.jpg
31fef15ecca9cfb34731cede866292fa.jpg

so i challenge all kenyans to show us any international (non kenyan) alumni from universities of kenya,who became the head of state or a CEO in his/her country.

nasubiri majibu sihitaji povu...ila kama huna majibu,basi ruksa kutoa povu.
Naona vijana mmewakamata majirani vema kwenye maungio ya miguu ya suruali.

Kazi njema kabisa.

Kuna yule mchina ngoja aje atuletee ya Kinya...(I Am Lee) wazee wa korapushoni
 
Kenyans are very stupid,
Unakuta jitu halijala siku ya pili Lakini limekomaza Sura Linazungumza Kingereza utadhani limezaliwa Nottingham.
When one is well conversant in the Queens language, can express himself confidently anywhere and with anyone in the world. ******** lacks those qualities and so are most Tanzanians...The only forums they can venture freely is JF and wouldn't dare Nairaland, Skyscraper or even JamiiForums.com.

Punguza hasira na wivu rudi darasani.
 
Huna exposure. Na bado unamawazo ya kitumwa. Nenda china, russia, German nk kama utaona upumbavu wa namna hiyo. Watu wanatunza tamaduni zao.
 
When one is well conversant in the Queens language, can express himself confidently anywhere and with anyone in the world. ******** lacks those qualities and so are most Tanzanians...The only forums they can venture freely is JF and wouldn't dare Nairaland, Skyscraper or even JamiiForums.com.

Punguza hasira na wivu rudi darasani.

mtumwa wa kiakili...
 
Wewe uliomba ushahidi wa njaa Kenya nikakuletea, nini zaidi unahitaji?, sema tu utapata usiwe na shaka, sisi ni majirani haina maana kunyimana
Unaleta iliyopita c n kuji fixed mnajifixed na muliisoma kwa news paper za kenya usenge 2
 
Back
Top Bottom