Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,129
- 17,857
Utasumbuka sana bongolala. Hik hapa MvutiTukikomelea msumari utakimbia JF sasa hivi 🤣 🤣 🤣 🤣
Utasumbuka sana bongolala. Hik hapa MvutiTukikomelea msumari utakimbia JF sasa hivi 🤣 🤣 🤣 🤣
Kuna aliyewhibisha? Ama sasa unatafuta pa kutorokea as usual?Na Kibera ipo Nairobi, au unabisha?😎
Mzee wewe utakuwa leo umekula wali, mmezoea kula ugali kila siku. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nioneshe ya 2024 kama kuna kitu kimechange
Sasa mvuti imefanya nini? Sijakuelewa.Utasumbuka sana bongolala. Hik hapa Mvuti View attachment 3115352
Misitu ya Chanika au Mvuti?Ahead kwa kipi.? Misitu au.?
Sijakuelewa msitu umefanya nini. Umewahi kutoka nje ya Kenya kwenda nchi yoyote tofauti na nchi yako?Misitu ya Chanika au Mvuti?
Hakuna cha usual wala nini. Nyani haoni kundule😎Kuna aliyewhibisha? Ama sasa unatafuta pa kutorokea as usual?
Hiyo Misitu ina ukubwa na inachukua % ngapi ya eneo lote la Dar es salaam.?Misitu ya Chanika au Mvuti?
Usikute jehanamu iko Kenya 👆 na sie hatujui hapa 😁
Babu inaweza kuwa kweli maana angalia wenyewe kunyan awashtuki kabisa na mazingira yao mabovu ndio kwanza wanajisifu na mauchafu yaleUsikute jehanamu iko Kenya 👆 na sie hatujui hapa 😁
Are there malls in mbeya? Estates?Ujenzi unaenda
This is not a subject of discussionSawa. Amini hivyo.
Malls ndio wadudu gani? Wana umuhimu upi?Are there malls in mbeya? Estates?
Huna point. Kojoa ulale.This is not a subject of discussion View attachment 3115469