Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu rudia kusoma vizuri ujumbe ama mimi ndiyo sijaelewa au ni wewe amesema siasa za Tanzania sio saizi siasa za Tanzania nadhani huwa unakurupuka kama ngiri
Sema nini Siasa za Tanzania zinakwamisha mambo mengi sana.

Tungeacha professionalism iongoze sekta nyeti zote nchi hii kama infrastructures tungekuwa mbali sana...

Tulipata maendeleo sana kipindi cha Magu kwa sababu ni mtu aliyekuwa anawaza mbali na alikuwa ana exposure kubwa sana ya jinsi Tanzania inatakiwa iwe. Hata waliomzunguka wakina Mfugale, kijazi etc wote ni watu ambao Tungekuwa nao Miaka 10 wakenya wangekuwa wanakuja kushangaa mambo mengi sana hapa Tanzania kama ambavyo hawachoki kuja kutry SGR tu.

Siasa ndo zinafanya baadhi ya mambo muhimu kama infrastructures zifanyike kijuakali. Kama sasa hiv wanakimbiza kimbiza vitu ili 2025 wachaguliwe tena

Siasa ndo zinafanya Bodaboda na bajaji ziruhusiwe kupiga route za mjini...zamani waliondoa vipanya kisa vinabana mji ..sasa wameruhusu tena vibajaji

Nitawashangaa sana wakiijenga Mandela road kuwa 6 lanes tena wakati ni moja ya Barabara muhimu sana kwa uchumi wa nchi hii. Mimi binafsi sitawasamehe kama wakifanya makosa kwa Barabara hii.

Kungekuwa na watu wenye kuwaza mbali kule Kibaha...wangeongeza hata km 30 kufika Mlandizi iwe 6 lanes. Kwa miaka hii mitatu toka 2021 wana uwezo wa kufanyw hivyo tena kwa pesa za ndani

Kwanza sijabisha hiyo hoja yake nilichokataa nimkusema kwamba eti saizi siasa zinaharibu na blaa blaa zingine za kijinga.

Nimemaliza Kwa kusema kama Kuna uhitaji itafanyika hivyo maana wanaofanya hayo ni wataalamu na wapo na sio Rais.

Wewe ndio umekurupuka bila kuelewa maelezo yangu.

Tunajenga hoja Kwa misingi ya chuki zako.
 
Nyumbu za Walimu wa Vijijini 🇹🇿

View: https://www.instagram.com/p/DArE8x9qKvv/?igsh=MWZ4NWhsNmFieHc5ZA==
wizara_elimutanzania_1728033733947.jpg
wizara_elimutanzania_1728033736651.jpg
wizara_elimutanzania_1728033735547.jpg
wizara_elimutanzania_1728033736412.jpg
wizara_elimutanzania_1728033736935.jpg
wizara_elimutanzania_1728033735217.jpg
 
Mandela road EU walitoa heka kipindi cha Jakaya kuipanua iwe njia 6 hela ikakaa sana bila kutumika EU wakawapa deadline ya miezi 3 mpaka December wakati huo barabara isipojengwa watapangia matumizi mengine serikali ya Jakaya wakakurupuka wakampa mkandarasi chap chap kilichotokea ni kuongeza service road na kuweka surface mpya palipoharibika hela ikapigwa nilisikitika sana wakati huo.
We mzee ebu taratibu, EU na WB navyowajua wanafuatilia miradi yao wasingeweza kukubali huu upuuzi, alafu ile barabara ilijengwa zile njia nne na service road, tena ni barabara imara sana hadi leo ukipita pamoja na shughuli yake ilivyo nzito lakini hakuna mashimo wala kupinda over 20yrs now, labda kule bandarini ndio kumechochoka.
 
***** guys angalia hiyo video ni ya Juzi tu hapa Oct 2 downtown walk. Kweli hilo ndilo jiji wanatuletea humu downtown kama soko la Tandale?


View: https://youtu.be/DkYrLlyd41o?si=sXh6At_mhc-BNlMY

Linganisha na hii vloggers wao anayetembea Dar


View: https://youtu.be/ZzWwaWwAjow?si=MeXSoe97P_NudFAt

Kuna battle hapa kweli?

Roads imejaa ISUZU za Nyundo.

Zile BASI GO na Electric zipo wapi? Za kuvizia, ila Dar Street BRT kuiona LAZIMA

Hii imemaliza battle ya downtown, yaani mtu anakwambia kabisa naingia the most dangerous place in the city na bado unaita huo ni mji? Alafu kumepalala balaa……..😅😅

Sasa hapo Vlogger kapagawa na ka kukuta mji umetifuliwa left right and center, ngoja aje akute tushaweka mji wetu in order ndio atatafuta na Bwana huku aolewe kabisa😅😅
 
Hiv hizo nguo huwa hazikauki? Kwa nini hawaweki madirisha? Kwa nini kuna open drainage systems? Kwa nini maghorofa hayapakwi rangi? Kwa nini matatu zinapark Barabarani?
I wish ungeuliza CCM haya maswali kuhusu uswazi uliojaa Tanzania
 
Back
Top Bottom