ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ndio uniroge. 🤣 🤣 🤣kama ya kawaida tuoneshe baiskeli unayomiliki wewe 😂😂😂😂
Si you do a vlog if possible.Niko hapa Tarakea Border naingia Vumbistan. Hamna Cha maana
View attachment 3111081
We unakuanga mshamba sana, Cadillac Escalade ni gari ya kawaida tu na hata sio hio bei. President anatumia Cadillac One aka 'The Beast'. Punguza ushamba we fala. 🤣 🤣 🤣 Eti usiwaambie. Hatutaki kuambukizwa ushamba. 🤣🤣
Cadillac zote ni the same standard, Cadillac large Kama hiyo Mbongo anayo ni USD 499 million , convert Kwa shilling ndio utajua haujui .We unakuanga mshamba sana, Cadillac Escalade ni gari ya kawaida tu na hata sio hio bei. President anatumia Cadillac One aka 'The Beast'. Punguza ushamba we fala. 🤣 🤣 🤣 Eti usiwaambie. Hatutaki kuambukizwa ushamba. 🤣🤣
Beast ni Aka.Cadillac zote ni the same standard, Cadillac large Kama hiyo Mbongo anayo ni USD 499 million , convert Kwa shilling ndio utajua haujui .
Eti Cadillac zote ni same standard. 🤣 🤣 🤣 Haikosi wewe pia ni primary school dropout kama wenzako hapa. Eti 499 million USD. 🤣🤣🤣Cadillac zote ni the same standard, Cadillac large Kama hiyo Mbongo anayo ni USD 499 million , convert Kwa shilling ndio utajua haujui .
Hapa Bongolala polisi wanatumia probox. Alafu utasikia Wakenya wanapenda probox.🤣🤣View attachment 3111136
Kwani hapo ni CBD?Kwani nimedanganya? 🤣 🤣 🤣
![]()
polisi tanzania wana kila aina ya magari mpaka range rover zipo 😂😂😂😂ichoboy01 Hii probox yenu kwanza imenunuliwa na serikali. 🤣🤣🤣 Na hua unacheza za Kenya amabazo hua donations from the community.
Sasa hivi mizigo mingi ya Rwanda na Burundi inapitia Tanga port then Moshi Arusha Babati Singida mpaka border ya Rwanda na BurundiHakukuwa na investment yeyote kwa miaka zaidi ya 40. Walikuwa bize kununua silaha tu kwa ukombozi na pia barabara zilikuwa changamoto pia.
Wao bado wako huku mkuu 🤣🤣🤣Jamhuri Stadium Dodoma Today (Dodoma jiji vs Simba)
Pitch renovated✅
Lights Capacity Increased✅
Pale Kenya mechi kuchezwa usiku bado ni ndoto.
View attachment 3110435
Mwamuzi hajazingua wacha zako hizoAisee ulipigwa mpira mwingi sn, pitch nzr, atmosphere kama uefa, ila mwamuzi kazingua kama kawaida ya waamuzi wetu wa bongo, but Dodoma jiji nafikiri imeuliza maswali mengi sn yasiyo na majibu leo. Best performance tonight.