Wanakuambia hawana matatu. Vans zao zote ni za kuanzia 2006 kurudi nyuma.🤣🤣Si you do a vlog if possible.
picha pia usisahau za hii inchi haina slums
Hii haina hata mataa na door handles. 🤣 🤣 🤣
usisahau kufika dar is slum
Hizo zinaishiaga huko huko vijijini, hizi zenu ni intercity 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣OMG.....and i thought tear gas is the dumbest Kenyan in JF!
Siku Kundustan mkifikia level hii. Please tag me. Kwa sasa mnaruka ruka kama kuiva kwa maharageHapa Bongolala polisi wanatumia probox. Alafu utasikia Wakenya wanapenda probox.🤣🤣View attachment 3111136
Kwenye hii picha ukiacha public transport, naona mikebe ya hatari aloo, kweli Tanzania kuna pesa
Picha ya kitambo sana hii.Hizo zinaishiaga huko huko vijijini, hizi zenu ni intercity 😂😂😂
View attachment 3111226View attachment 3111227
Hebu tuambie sasa. Kwahiyo hizi ulizoweka ndizo new model? FafanuaPicha ya kitambo sana hii.
Imani Shuttle sahii hawatumii hizo old models.
![]()
Yes, assembled in Kenya at AVA Mombasa. This model bado iko kwa production line, they were discontinued in some countries but Kenya na SA bado ziko in production.Hebu tuambie sasa. Kwahiyo hizi ulizoweka ndizo new model? Fafanua
🤣 🤣 🤣 🤣 Kwa Tanzania hizo takataka zinafanya kazi porini. Haziingii mjini. Waambie wakenya wenzako wakuoneshe usafiri wa Mjini TZYes, assembled in Kenya at AVA Mombasa. This model bado iko kwa production line, they were discontinued in some countries but Kenya na SA bado ziko in production.
Me nahisi hawa jamaa wanahisi labda sisi tunafanya mazingaombwe ila hawawezi tu kuuliza……😂😂😂Vitu vinatokea kwa haraka sana. Mpaka wanachanganyikiwa.
Nimesema they are produced in Kenya and South Africa, ni wapi umeona nikitaja bongoslum hapo? You are suffering from inferiority complex.🤣 🤣 🤣 🤣 Kwa Tanzania hizo takataka zinafanya kazi porini. Haziingii mjini. Waambie wakenya wenzako wakuoneshe usafiri wa Mjini TZ
Hata kama zikiwa zinatengenezwa Kibera. Tanzania do not allow Takataka hizo kuingia mjini.Nimesema they are produced in Kenya and South Africa, ni wapi umeona nikitaja bongoslum hapo? You are suffering from inferiority complex.
I once said that Scania Tanzania ni kama showroom ya magari zimetengenezwa Kenya wachawi wakanipinga, ndio hiyo sasa they are showcasing AVA product😂😂😂😆
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1840733206812799119
Now I knoww why Burundi is ahead of Tanzania in Infrastructure development index😂😂😂Niko hapa Tarakea Border naingia Vumbistan. Hamna Cha maana
View attachment 3111081
Still a showroom to Kenyan buses and lorries😂😂🤣