Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka kusema umekuwa kipofu? Kwamba huoni Posta kwenye hiyo picha niliyopost?
tazama hata visibility ni mbingu na ardhi nairobi ni ndogo sana buda tena ndogo sana kwa dar chukua nairobi tatu na chenchi inabaki 😂😂😂😂😂
 
Azam Complex Chamazi now ina viti majukwaa yote.
Ligi namba sita kwa ubora Afrika mechi imeanza saa tatu usiku ila view ni kama mchana.
Screenshot_20240929_223641_Instagram.jpg
 
We unakuanga mshamba sana, Cadillac Escalade ni gari ya kawaida tu na hata sio hio bei. President anatumia Cadillac One aka 'The Beast'. Punguza ushamba we fala. 🤣 🤣 🤣 Eti usiwaambie. Hatutaki kuambukizwa ushamba. 🤣🤣
kama ya kawaida tuoneshe baiskeli unayomiliki wewe 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom