Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamhuri Stadium Dodoma Today (Dodoma jiji vs Simba)
Pitch renovated✅
Lights Capacity Increased✅
Pale Kenya mechi kuchezwa usiku bado ni ndoto.
Screenshot_20240929_201137_Instagram.jpg
 
Toka siku nyingi tumekua tukifanya zaidi biashara na DRC kuliko nchi yoyote EAC ni hivyo tu tulikua wote SADC kwa hiyo data zilikua interpreted as SADC, ni hivyo tu kajoin EAC ndio ikatafsiriwa hivi ila ni wazi Tanzania ndio inadominate region yote hii economically and logistically
Habari imesema mnafanya biashara nyingi na DRC kuliko na Kenya. Yeye katafsiri eti mnafanya biashara nyingi na DRC kuliko Kenya wanavyofanya na DRC. Ndio maana nikasema kizungu balaa.
 
Jamhuri Stadium Dodoma Today (Dodoma jiji vs Simba)
Pitch renovated✅
Lights Capacity Increased✅
Pale Kenya mechi kuchezwa usiku bado ni ndoto.
View attachment 3110435
Aisee ulipigwa mpira mwingi sn, pitch nzr, atmosphere kama uefa, ila mwamuzi kazingua kama kawaida ya waamuzi wetu wa bongo, but Dodoma jiji nafikiri imeuliza maswali mengi sn yasiyo na majibu leo. Best performance tonight.
 
Habari imesema mnafanya biashara nyingi na DRC kuliko na Kenya. Yeye katafsiri eti mnafanya biashara nyingi na DRC kuliko Kenya wanavyofanya na DRC. Ndio maana nikasema kizungu balaa.
Wewe Ndio umemuelewa vibaya mzee umetafsiri totally different na mchizi Alivyo adres hii issue, siwezi kukulaumu lakini una level ndogo ya comprehension. 😂😂😂😂
 
wacha hasira sasa nilikwambia toka mwanzo dar ni kubwa mara tatu ya nairobi 😂😂😂😂 hebu nambie hapo posta unaiona vzr??
Unataka kusema umekuwa kipofu? Kwamba huoni Posta kwenye hiyo picha niliyopost?
 
Back
Top Bottom