Uongooooo hii ni data ya 2019 census, ebu tuambie hao 3 million wanaishi wapi?Ila unakubali kati ya 5.4mil pp 3 mil wanaish kwa slums
Uongooooo hii ni data ya 2019 census, ebu tuambie hao 3 million wanaishi wapi?Ila unakubali kati ya 5.4mil pp 3 mil wanaish kwa slums
Yaan hata mkiwa mnajadiliana humu unatakiwa ujue humu asilimia 25 ya wakenya waliomo humu ni vichaaKwenye wakenya wanne mmoja kichaa mkuu.
Ebu angalia alafu utuambie, bongoslum tusha confirm mkona CBD ya ghorofa tano kando ya barabara.Kwani Kenya ghorofa zipo katikati ya barabara?
Hii ni hate, isn’t it.?Ebu angalia alafu utuambie, bongoslum tusha confirm mkona CBD ya ghorofa tano kando ya barabara.
Nairobi's 2024 population is now estimated at 5,541,172. In 1950, the population of Nairobi was 137,456. Nairobi has grown by 216,012 in the last year, which represents a 4.06% annual change.These population estimates and projections come from the latest revision of the UN World Urbanization Prospects. These estimates represent the Urban agglomeration of Nairobi, which typically includes Nairobi's population in addition to adjacent suburban areas.Uongooooo hii ni data ya 2019 census, ebu tuambie hao 3 million wanaishi wapi?
View attachment 3110272
Nyie Nairobi mko na cbd yenye ghorofa katikati ya barabara?Ebu angalia alafu utuambie, bongoslum tusha confirm mkona CBD ya ghorofa tano kando ya barabara.
Hatuna CBD kama hii Nairobi 🤣🤣🤣Nyie Nairobi mko na cbd yenye ghorofa katikati ya barabara?
Utaumbuka, Haya Ndio majengo pekee pembeni ya hii barabara.?Kwani nimedanganya? 🤣 🤣 🤣
![]()
Mbona hizo barabara zingine in the surrounding area hazina ghorofa? Ooooohhh pole nimeona haziko paved. 🤣 🤣 🤣Utaumbuka, Haya Ndio majengo pekee pembeni ya hii barabara.?
Ume claim kamba hiyo barabara Ina gorofa tano kando, si ndio.? Naona unajichekesha tu mtu mzima mpumbavu.Mbona hizo barabara zingine in the surrounding area hazina ghorofa? Ooooohhh pole nimeona haziko paved. 🤣 🤣 🤣
Unapoteza muda na hao watuUme claim kamba hiyo barabara Ina gorofa tano kando, si ndio.? Naona unajichekesha tu mtu mzima mpumbavu.
Sasa unataka kulia ju ya hii. 🤣 🤣 🤣Ume claim kamba hiyo barabara Ina gorofa tano kando, si ndio.? Naona unajichekesha tu mtu mzima mpumbavu.
Wewe Ndio unaelia unafosi vitu 😂😂😂. Unajua hiyo ni ishara ya kushindwa.?Sasa unataka kulia ju ya hii. 🤣 🤣 🤣
![]()
Nani kasema mna CBD kama hio Nairobi? Are you alright?Hatuna CBD kama hii Nairobi 🤣🤣🤣
![]()
Hizi picha zimekua zikipostiwa humu ni mwaka sasa, lakini kijamaa kwa uoga kimeendelea kupost picha ya kitambo na kuzusha eti kuna gorofa tano kando ya barabara 😂😂😂 hii ni hate au ni uoga.? 👇Eneo lenyewe hili hapa 👇🏾Sasa unataka kulia ju ya hii. 🤣 🤣 🤣
![]()
Kijitonyama Dar es Salaam with a new BRT system....kuna matajiri wa North hata phase 1 iliwashinda...Ebu angalia alafu utuambie, bongoslum tusha confirm mkona CBD ya ghorofa tano kando ya barabara.
Tushindwe aje na ghorofa tano kando ya barabara. 🤣 🤣Wewe Ndio unaelia unafosi vitu 😂😂😂. Unajua hiyo ni ishara ya kushindwa.?
Kijitonyama Dar es Salaam with a new BRT system....kuna matajiri wa North hata phase 1 iliwashinda...
Imagine these towers with beautiful polo blue buses.... can't wait.
View: https://www.instagram.com/reel/DAVnAwRKDDR/?igsh=ZG5remc2cWVpaG83
CBD ya ghorofa tano kando ya barabara. 🤣🤣🤣Hizi picha zimekua zikipostiwa humu ni mwaka sasa, lakini kijamaa kwa uoga kimeendelea kupost picha ya kitambo na kuzusha eti kuna gorofa tano kando ya barabara 😂😂😂 hii ni hate au ni uoga.? 👇Eneo lenyewe hili hapa 👇🏾View attachment 3110302View attachment 3110304wewe mtu mzima mpumbavu nairobae hapo unaona gorofa tano.? 😂😂😂 kwanini unaendelea kupost picha za zamani.? Unaogopa nini.?