We don't want such kind of monstrosity in Nairobi. Ghorofa tando kando ya barabara is a big NO. 🤣🤣🤣Nani kasema mna CBD kama hio Nairobi? Are you alright?
We don't want such kind of monstrosity in Nairobi. Ghorofa tando kando ya barabara is a big NO. 🤣🤣🤣Nani kasema mna CBD kama hio Nairobi? Are you alright?
Kwahio ghorofa mnaweka wapi? Katikati ya barabara au hewani?We don't want such kind of monstrosity in Nairobi. Ghorofa tando kando ya barabara is a big NO. 🤣🤣🤣
Ukiwa well connect logistics system watu uchagua. Tanzania logistics system zetu ziko vizuri, unachukua kutuma ndege, Barabara, reli au maji. Sisi route zetu zote ni efficient na ni cost effective, speed tofauti na nyie. And that is what we call development. Sio nyie. Barabara mbovu , reli mbovu, maji ndio shida uko.Bro elimu yako ni ndogo sana.
Kwa hii table kuna both international(Abiria wa kitaifa) and domestic travellers (Abiria wa ndani).
Abiria wa ndani which include hao wafanya biashara are only 3M passengers. Out of those 3M, Kenyans are like half of them, other 1M are foreigners moving within Tanzania Alafu the remaining 500k ndio wanaezakuwa hao wafanya biashara wako plus politicians 😂😂
View attachment 3109880
Hatuna ghorofa tano kando ya barabara sisi.Kwahio ghorofa mnaweka wapi? Katikati ya barabara au hewani?
So tell me ni uoga au no hate.? AMA ni upumbavu tu.? 😂😂😂😂CBD ya ghorofa tano kando ya barabara. 🤣🤣🤣
Hakukuwa na investment yeyote kwa miaka zaidi ya 40. Walikuwa bize kununua silaha tu kwa ukombozi na pia barabara zilikuwa changamoto pia.Msa port kuwa mshindani wetu ni uzembe flan tu wa viongozi wetu,kijiografia ni aibu kwetu kwa rwanda na burundi kutumia msa port,now tumeamka naina burundi wameacha kabisa kutumia msa,rwanda na wenyewe kidogo kidogo naona wanaikimbia
Ni facts.So tell me ni uoga au no hate.? AMA ni upumbavu tu.? 😂😂😂😂
Ni upumbavu uliokujaa 😂😂😂 kwasababu kimsingi hiyo barabara imezungukwa na gorofa zaidi ya 50 kutoka inapoanzia moroco hadi kufika mwenge. Many ni glass buildings.Ni facts.
treni zinakumbatiana kama vile p didy 😂😂Wasee wa double stack vipi tena?
naona vichwa viwili vya Fukamoshi vikijikongoja kwa mwendo wa jongoo.
Hasira ya ghorofa tano hii. 🤣 🤣 🤣Ni upumbavu uliokujaa 😂😂😂 kwasababu kimsingi hiyo barabara imezungukwa na gorofa zaidi ya 50 kutoka inapoanzia moroco hadi kufika mwenge. Many ni glass buildings.
Wewe Ndio mwenye hasira 😂😂 trying to force things.Hasira ya ghorofa tano hii. 🤣 🤣 🤣
Mapandikizi bado yapo aisee,serikali inabidi iwe makini mno kuna watanzania sio wazalendo kabisa,sijui kama meli msc sasa hivi kama zimeanza kuja TZ maana nakumbuka kuna kiongozi m1 aliongoza znz ana meli yake ndogo ya container,halafu kuna mtaliano m1 hivi nae alikua na meli yake ndogo ya container,so walichokifanya ili meli zao zipate kazi wakasabotage msc ziishie msa na beira halafu hivyo vimeli vyao vikachukue container za kuja TZ,pia hapo bandari kuna watu walisabotage ya kuwa kuna kina kidogo cha draft so meli kuanzia 15 m draft azipitia pale ferry na so meli za kina kikubwa zilikua zinaishia msa na mizigo ya TZ na ikiwa kama ni kweli dar kina ni kidogo mtwara port ina kina cha kuingiza meli hata yenye 25 m draft,wa TZ baadhi yetu hatuna uzalendo kabisaKilochosababisha kipindi like isitumike kipindi like ilikuwa network ya barabara Kanda ya kati, kumbukq Kuna miaka ilitulazimu kuzungukia Nairobi kuja dar na ndo kipindi hicho wakenya wakatembelea fursa.
Pia bandari haikuwa fasta katika utoaji mizigo tofauti na Sasa.
Pia nahisi kulikuwa na mapandikiI miaka hiyo maana kumbukq Kuna bandari ya tanga iliuwawa makusudi kabisa.
Ila kwa Sasa Kuna maboresho makubwa sana na mfumo wa Sasa kuwa bila mapato kuongezeka ukurugenzi wako uko kitanzini, imesababisha Sasa hivi watu wafanye kazi kama wamerogwa.
Mfano tu angalia halmashauri zinavyohangaika kutafuta mapato.