Tuweke report ya WB au tusiweke?Si huwa mnasema World Bank ni cooked data? Tena mnaitumia kama proof?🤣🤣🤣
Tuweke report ya WB au tusiweke?Si huwa mnasema World Bank ni cooked data? Tena mnaitumia kama proof?🤣🤣🤣
Nyie mbona mafuta yanayoenda Uganda through Mombasa port mnahesabu kama exports from Kenya?Kwahiyo DRC mnawauzia nn hebu tuambie.
Kitu najua Kenya Police haijawai nunua Probox kwa pesa zake, zote hua donations tu. 🤣 🤣 🤣 Nisiwai kuona uki slander probox tena na polisi wenu wanazitumia. 🤣🤣🤣polisi tanzania wana kila aina ya magari mpaka range rover zipo 😂😂😂😂
kila aina ya magari unayojua ww duniani basi polisi tanzania wanayo, je kwenu??
Polisi Tanzania huwa na magari yao special ukiona wanatumia probox ana gari nyingine zaidi ya model zinazotumila ujue ni gari zilizotaifishwa na serikali na kugaiwa department za serikali ikiwamo polisi.Hapa Bongolala polisi wanatumia probox. Alafu utasikia Wakenya wanapenda probox.🤣🤣View attachment 3111136
Hayajanunuliwa na serikali.ichoboy01 Hii probox yenu kwanza imenunuliwa na serikali. 🤣🤣🤣 Na hua unacheza za Kenya amabazo hua donations from the community.
Ni wapi kwa hio article imeandikwa hio probox haikununliwa na serikali? 🤣 🤣 🤣Hayajanunuliwa na serikali.
Serikali haiwezi nunua magari kama hayo, jielelimishe.
![]()
So unaifahamu Tanzania kuliko mimi?Ni wapi kwa hio article imeandikwa hio probox haikununliwa na serikali? 🤣 🤣 🤣
Weka evidence hapa, wacha feelings za kipuzi.So unaifahamu Tanzania kuliko mimi?
Sio gari rasmi ya police, Wengine huwa wana hadi Toyota Noah. Hizi huwa wanapewa tu na serikali baada ya wamiliki kushindwa kuzilipia au zilifanyiwa magendo zikataifishwa.Hapa Bongolala polisi wanatumia probox. Alafu utasikia Wakenya wanapenda probox.🤣🤣View attachment 3111136
utasikia apa wakisema ni cityNiko hapa Tarakea Border naingia Vumbistan. Hamna Cha maana
View attachment 3111081
Yes, hizi ni gari zilizotaifishwa.Polisi Tanzania huwa na magari yao special ukiona wanatumia probox ana gari nyingine zaidi ya model zinazotumila ujue ni gari zilizotaifishwa na serikali na kugaiwa department za serikali ikiwamo polisi.
Gari hadi ikona number plate ya polisi, lakini agenda must agenda just because hampendi probox. 🤣 🤣Sio gari rasmi ya police, Wengine huwa wana hadi Toyota Noah. Hizi huwa wanapewa tu na serikali baada ya wamiliki kushindwa kuzilipia au zilifanyiwa magendo zikataifishwa.
Gari hadi ikona number plate ya polisi, lakini agenda must agenda just because hampendi probox. 🤣 🤣
Wakipewa na serikali sio private individuals au NGO. Hio haina tofauti na serikali kutoa pesa na kuwanunulia hizo gari. 🤣 🤣 🤣Wewe kumbe huna akili. Police wakipewa si wanaenda kuweka sticker zao au ulifikiri hio imekuja na sticker kutoka Jp?
OMG.....and i thought tear gas is the dumbest Kenyan in JF!Wakipewa na serikali sio private individuals au NGO. Hio haina tofauti na serikali kutoa pesa na kuwanunulia hizo gari. 🤣 🤣 🤣
Hilo jamaa ni taahira lipo everywhere forcing things lizoee, ni zuzu hilo.Wewe kumbe huna akili. Police wakipewa si wanaenda kuweka sticker zao au ulifikiri hio imekuja na sticker kutoka Jp?
Tofauti ni gani, na ni serikali yenu inajaribu kusave pesa, by donating cars impounded at the port.OMG.....and i thought tear gas is the dumbest Kenyan in JF!
The fact remains, polisi wenu wanatumia probox, tena with official police registration plates. 🤣🤣Hilo jamaa ni taahira lipo everywhere forcing things lizoee, ni zuzu hilo.
Ok.Tofauti ni gani, na ni serikali yenu inajaribu kusave pesa, by donating cars impounded at the port.