mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Inauma hauna point budasiwez kua na hasira wakat ndege wakwangu mwenyewe manati ya nini??😀😀😀😀😀

Wewe utaanza kuokota makopo baada ya kugundua Kenya mumeachwa nyuma katika mambo mengi, suluhisho sio kutoa povu, kaeni chini mjiulize ni kwa jinsi gani mtaweza kurekebishaBattle ilianza kati ya Dar vs Nairoberry ,Dar ikapigwa mabao ikatulia.
Dar vs Mombasa bado Dar ikapigwa kama burkenge.
Dar vs Nakuru hapa mshindi haeleweki vile Labda baada ya miaka mitano hivi.
Battle wakabadilisha losers wa Tz ikawa kati ya Barabara na kama kawaida Kenya kashinda Tz hands down...wanapovu waka-shift goal post Tena.
Viwanja vya ndege JKIA vs JNIA na kama ilivyo desturi JKIA haikufeli kucharaza Airstrip ya Nyerere.
Kenya airways vs Shirika tarajiwa la Tanzania imaginary Airways... hapa kama kawa Tz wakacharazwa kama mwizi wa kuku baada ya ndege yao ya kipekee kukamatwa na Canada kwa kushindwa kulipa deni la pesa ndooogooo sana.
Tukaingia kwenye shindano la usafiri wa Reli/Treni...Kenya SGR yasafirisha watu zaidi ya km 489, Tz SGR imefikia Km 05 na bado pesa hazitoshi inabidi wamlilie Mchina.
Tukaingia kwenye battle ya Barabara. Hapa Tz wakachemka barabara zao modern ni zile Kenya ilikuwa nazo in the 90s...Hawana equivalent ya Thika Road, Jogoo Road, Uhuru highway, bypasses etc. Picha msema kweli.
Tukaingia battle ya Hospitali/ Health si kila mtu hapa anajua vizuri Tundu Lissu amelazwa wapi unless unataka kutoa povu tuuuu.
Tukaingia battle ya Pipeline. Kenya tunajenga yetu Tanzania wanategemea Uganda...bila povu please.
Tukaingia battle ya Military Tz wakawachekelea Kenya na kuwaombea waangamizwe na Alshabab lakini wapi...DRC imedhihirisha Tz are very weak hawawezi toboa Somalia...I mean wiyh more than 120,000 UN equiped troops why Tz? R.I.P Brave Soldiers.
Tukaingia battle ya Elimu/ Vyuo vikuu Tz less than 27 universities na wakashinda wakirudia picha Tena at different angles. Kenya plenty of picture bila kurudia na kama kawaida Tz beaten hands down povu ndio imebaki.
Battle ya Tourism na kama kawaida Kenya through Global awards Kashinda Tz kabakia povu na matusi.
Battle ya Uchumi Kenya $75b, Tz $45b na povu matusi kutoka kwa WaTz.
Battle nyingine wanakwepa ni ya Mchezo ikiwemi riadha, rugby, cricket, dondi na hata Football/Soccer si mlishuhudia Taifa Stars ikipokea kichapo cha mbwa msikitini toka kwa The mighty Harambee Stars...Hamtuwezi hata kidogo nyie, sisi ni wale wabaya apan tambua Tz in anything or anyway we gonna beat you day in day out yani nyie ni kama bibi kwetu ni kupanaua tu mkituona na kutoa povu kama mabibi lakini lazima mtuandalie mechi bila kutumia kinga, yes tumewaoa nakuwavisha pete kwa vidole vyote na tukikohoa mnafaa kuitika kama kawaida...We ferk Tz morning till dawn bila kuchoka wala kuhema.
Kenya tunakuwa juu ya watz kila siku kila mwaka kama vile mnanaume anakuwa juu ya binti katika ngono yani tumewaoa hio design like or not...Kelele za chura.
Finally povu na matusi sisi kama wakenya tumezoea na Mimi binafsi nazitarajia kwa wingi. Have a nice day
sio kwa kuja kuishi kwa umasikini na uchocholeWewe utaanza kuokota makopo baada ya kugundua Kenya mumeachwa nyuma katika mambo mengi, suluhisho sio kutoa povu, kaeni chini mjiulize ni kwa jinsi gani mtaweza kurekebisha
1)Utalii wenu uweze kuongeza mapato
2)Ukuaji wa uchumi angalau ufikie 6%
3)Kuongeza uzalishaji wa chakula ili kupunguza njaa, na kupunguza utegemezi wa chakula toka Tanzania
4)Kupunguza kiwango cha unemployment kiwe chini ya 30%
5)Kupunguza rushwa inayozamisha uchumi wenu
6)Kupambana na tribalism
7) Kupambana na insecurity
Achane kujilinganisha na nchi iliyotulia na inayopiga hatua kwa kasi sana, hii ni China ya Africa, peaceful, stable economy growth, no hunger, no tribalism, no corruption, low level of poverty, nani asiyependa kuja kuishi Bongo?
Mimi nikimbie juu yah tower mbili wakati tunajenga pinnacleWenzako wakina nairobi walker walikimbia humu baada ya kuanza kuhesabu over 20fl 😀😀😀😀😀
Wapi evidences??chakustisha zaidi revenue from tourism sector
tanzania 2.2b usd
kenya 800m usd 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Wapi munajenga pinnacle naomba utuoneshe😀😀Mimi nikimbie juu yah tower mbili wakati tunajenga pinnacle
Umasikini Tanzania 22%, Kenya 43%, kwa mtu aliyezoea umasikini atapendelea kuishi Kenya, hiyo ni kawaida ya binadamusio kwa kuja kuishi kwa umasikini na uchochole
Bona mlialia ati kenya kuna njaa na so tuko stable.........ati China....juu ya tower mbili amaWewe utaanza kuokota makopo baada ya kugundua Kenya mumeachwa nyuma katika mambo mengi, suluhisho sio kutoa povu, kaeni chini mjiulize ni kwa jinsi gani mtaweza kurekebisha
1)Utalii wenu uweze kuongeza mapato
2)Ukuaji wa uchumi angalau ufikie 6%
3)Kuongeza uzalishaji wa chakula ili kupunguza njaa, na kupunguza utegemezi wa chakula toka Tanzania
4)Kupunguza kiwango cha unemployment kiwe chini ya 30%
5)Kupunguza rushwa inayozamisha uchumi wenu
6)Kupambana na tribalism
7) Kupambana na insecurity
Achane kujilinganisha na nchi iliyotulia na inayopiga hatua kwa kasi sana, hii ni China ya Africa, peaceful, stable economy growth, no hunger, no tribalism, no corruption, low level of poverty, nani asiyependa kuja kuishi Bongo?
Nani aliazisha iii thread..c.nyie..wa daganyikas na mdai eti wakenya....iyo c n ushambaWewe utaanza kuokota makopo baada ya kugundua Kenya mumeachwa nyuma katika mambo mengi, suluhisho sio kutoa povu, kaeni chini mjiulize ni kwa jinsi gani mtaweza kurekebisha
1)Utalii wenu uweze kuongeza mapato
2)Ukuaji wa uchumi angalau ufikie 6%
3)Kuongeza uzalishaji wa chakula ili kupunguza njaa, na kupunguza utegemezi wa chakula toka Tanzania
4)Kupunguza kiwango cha unemployment kiwe chini ya 30%
5)Kupunguza rushwa inayozamisha uchumi wenu
6)Kupambana na tribalism
7) Kupambana na insecurity
Achane kujilinganisha na nchi iliyotulia na inayopiga hatua kwa kasi sana, hii ni China ya Africa, peaceful, stable economy growth, no hunger, no tribalism, no corruption, low level of poverty, nani asiyependa kuja kuishi Bongo?
Usitake kila kitu utafutiwe kama mwanamke mjamzito, jishughulishe kwa kutafuta kwenye websites za nchi husika, wewe unadhani kwa nchi yenu ilivyo na usalama wa hovyo, mnapata kiasi gani kwenye utalii?Wapi evidences??
Umasikini Tanzania 22%, Kenya 43%, kwa mtu aliyezoea umasikini atapendelea kuishi Kenya, hiyo ni kawaida ya binadamu
Rais wenu mwenyewe amekiri juzi siku ya Jamhuri kwamba kipaumbele cha kwanza katika kipindi hiki cha uongozi ni kupambana na njaa, wewe unataka kukataa hamna njaa Kenya?Bona mlialia ati kenya kuna njaa na so tuko stable.........ati China....juu ya tower mbili ama
Nikuonyeshe na tiari unajua....[emoji117] ciunanipima amaWapi munajenga pinnacle naomba utuoneshe😀😀
Niipe fact yah tzUmasikini Tanzania 22%, Kenya 43%, kwa mtu aliyezoea umasikini atapendelea kuishi Kenya, hiyo ni kawaida ya binadamu
Sasa unatuonyesha tufanyie nini?
Hiyo ni dalili ya kushindwa na kwamba umeujua ukweli, hongera sana..mtu mzima akisema kitu bila ushahidi wa data ujue mambo kwake yamekua magumu[emoji23]hata muweke 1%.....you are a fourth world country....
Tafuta mwenyewe hizi taarifa siko nazo peke yangu, hata wewe ukizitafuta katika website ya WB utazipata, mkiletewa facts mnapotea kimyakimyaNiipe fact yah tz
Iyo ni porojo zako.nitajie wakenya wana njaa. Achana na maneno yah raid we2Rais wenu mwenyewe amekiri juzi siku ya Jamhuri kwamba kipaumbele cha kwanza katika kipindi hiki cha uongozi ni kupambana na njaa, wewe unataka kukataa hamna njaa Kenya?
Case closed here.Battle ilianza kati ya Dar vs Nairoberry ,Dar ikapigwa mabao ikatulia.