Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

our girl Lupita is representing yo...they just launched another Star Wars movie in which she is part of...Kanumba was also a fantastic actor....the guy would have don great things..apart from Kanumba the Great, who else?
 
His Excellence Ali Hassan Mwinyi. Ulisahau vipi kutuambia His Excellency alimtembelea Tundu Lissu Nairobi Hospital hivi majuzi? JPM kaogopa kuingia Kenya na kufanya the same juu ya tofauti za kisiasa ama?


king of medicine ya mitishamba Tanzania wanafanya nini in our hospitals....lol.wanatutusi na tuliwafufulia kiongozi wao wa upinzani.. ..lol
 
Wacha pinnacle iiisheeeee......uji utakua Tanzania vs pinnacle wAtakimbie mbila kulazimishwa...
 
daktari kutoka tanga.....lol....hayo mabango kwa pole za stima huchekesha.
We love you our poor brothers licha ya matusi.....tunawajali sana.....hahaha
 
daktari kutoka tanga.....lol....hayo mabango kwa pole za stima huchekesha.
We love you our poor brothers licha ya matusi.....tunawajali sana.....hahaha
Iyo ndio tunaeza pongeza watz na kkuuza binadamu...[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
 
Watz wana point wanataka kuiba south Africa wa battle na kenya Nanina facts kwanza ichoboy na ndinda lkn Hanna shinda...2mewapa hadiZanzibar
 
waungwana husema mficha uchi hazai.
food security,food security,food security.
6680096c477271b1c9e6aa86b528a42f.jpg

njaa haina cha kujifanya eti wewe unajua sana kuongea kingereza ..ikikuchapa haina simile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona unarudi kule kule. Sifa za kijinga. Nimekutaka unitajie wakenya wanaojulikana kwenye nyadhifa kubwa kubwa duniani. Wewe unaniletea namba. What is the output of kenya to study at Yale University?
Huo ni ujinga bana. Nikutaka unitajie. Na uliomba ruhusa unaenda kujiandaa ndio umejiandaa hivyo?
hio ilikua ni info nimepeana. ww chill kwanza. leo nimeshikika na kazi zingine
 
Back
Top Bottom