Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni data za serikali ya Tanzania, unajua kuwaliko?😂😂👇👇

View attachment 3109879
Ni za tanzania ndio ila nakuambia uhalisia sio huo mkiwa mnategemea data za mitandaon mtapotea ntakupa mfano, kunasehemu nalikuwa nafanya kaz, kwenye upande wa mapato tulikuwa tuna underestimate lakin kiuhalisia tulikuwa tunavuka twice , ishu kwa tanzania usipovuka lengo uko kwa shida, tanzania understimation ni kubwa sana.
 
na unajua hao wote ni only tourists ,hakuna wafanya biashara wanaoshukia hapo na unajua kuwa kwa safari za ndani tunatumia arusha airport ambayo iko less than 100km kutoka kilimanjaro
Bro elimu yako ni ndogo sana.

Kwa hii table kuna both international(Abiria wa kitaifa) and domestic travellers (Abiria wa ndani).
Abiria wa ndani which include hao wafanya biashara are only 3M passengers. Out of those 3M, Kenyans are like half of them, other 1M are foreigners moving within Tanzania Alafu the remaining 500k ndio wanaezakuwa hao wafanya biashara wako plus politicians 😂😂
IMG_0616.png
 
Ni za tanzania ndio ila nakuambia uhalisia sio huo mkiwa mnategemea data za mitandaon mtapotea ntakupa mfano, kunasehemu nalikuwa nafanya kaz, kwenye upande wa mapato tulikuwa tuna underestimate lakin kiuhalisia tulikuwa tunavuka twice , ishu kwa tanzania usipovuka lengo uko kwa shida, tanzania understimation ni kubwa sana.
Kati yako na serikali ya Tanzania nani ako na idadi kamili ya waliotumia your airports? Unataka nikuamini na hata hujui domestic travelers ni akina nani?😂😂😆
 
hivi mimi ni wakunifundisha mimi mdogo, i think hujafikia level hiyo, wewe umesomea kenya hujatoka na u dont that exposure . ok primary -lukenya secondary school and high school tz - bachelor tanzania - masters makerere university, cpa, cpb, cisa qualification. wewe?
I doubt hata kama ulifika class 3 😂😂.

Your reasoning is wanting.
 
So how many Tanzanians stumble across 8M USD worth of minerals?
Where is you $8M.
You're an idiot. This is like using a jackpot winner to claim your country has rich people.
You're speaking of corruption as if you are any better. You have 4 times our resources yet you have a smaller GDP, lower wages, smaller middle class and you still believe you are not corrupt?
Just because you're too uneducated and too cowardly to speak against your government's evils like us you beliewve you are better? Like I told you, you have not travelled that's why you speak this nonsense.
The average Tanzanian is dirt and poor. You are dirt and poor that's why you haven't travelled. With all your resources you still trail behind Kenya in most economic indicators. Here is real success from a functional country. Not the luck you're boasting about that happens more in failed countries like DRC. This young man started a tech company in Kenya and he's doing well. This is real progress.

View: https://www.youtube.com/watch?v=EFgebo4tk-k

Ila wakunya bwana,
Hata mambo msiyoyajua mnarukia tu,
Unadhani dhahabu inaokotwa kama vile wanasiasa wenu corrupt wanavyojitajirisha kwa mabilioni ya pesa za mikopo toka china.?
Yaani unafananisha gambling na mwamba kupiga pesa ya dhahabu ?
Unajua huo mzigo wa dhahabu huyo mwamba kasaga tones ngapi za miamba ? Do you aven know how long did it take to get the hundreds tones of gold ore hadi kupata kiasi hicho cha dhahabu ? Or by your ignorance you think Gold is a free existing metal that you just go and collect in the forest ?
Hivi hata mnajua how do we extract gold ? Do you have chemistry teachers in Kunya ?
You are such an ignorant idiot with too much utterly deceptive twaddle -speaks in your ignorant mouth.
i thought some of you attended schools , just to realize majority of you are bodaboda and Matatu drivers with the minds of goats, Says I.
 
I know small scale mining buana. You do not need Hi-Tech to mine gold if it's in your locality. People with zero education, zero technology and in failed countries like DRC mine and sell gold and become millionaires. It's stupid to boast eti you have a better country because a random guy mined gold and sold it at 8M. And I thought you were the smart one among your bongolala friends.🤣🤣🤣
You know nothing Mate ,
Hiyo mwamba unaona âmepiga hiyo dhahabu wala usizani ni fukara kama wewe. Without that Gold he has been well-off than your entire clan,
For your info, kwa kuangalia nature of those gold bars it means they came from Leaching pits , then to the Elution plant,
Meaning that the guy spent a year or two to get such quantity of gold ore ,
And do you think how deep beneath the land surface he has to excavate to get into the rocks with such promising gold sample?
As a well knowledgeable, I teach you for free.
That guy has machinery, leaching pits and resources. Small mining scale unadhani ni mtu anaenda kuchimba na jembe ? Haki ukunya ni laana. Very small minded people.
By the way there are lots of such guys who breaks even , huyo ni mmoja mmemwona ila there are hundreds of them only in Chunya. Not to mention countless of Gold mining areas from the rest of TZ. Ndio maana huwa nawashangaa Mkijaga na vitakwimu vya Kunya vya dollar milionaires vilivyojaa wahindi na wazungu with few locals from ruling class .
 
Unajua ni mercury kiasi gani inahitajika kusafisha dhahabu ya hizo kilo zote!??
Unajua bro??
Mbona leo unaongea vichekesho hivi!??
Dhahabu ya hivyo haikamatishwi kwa mercury, ni mzigo ambao mtu amesaga miamba ya dhahabu kwa miaka Karibu miwili, amepeleka rudio kwenye leaching pits ambako anatumia tones za kutosha za Activated Carbon, Cyanide pipa za kutosha, Lead , Causic Soda , na Chokaa tones za kutosha,
Kisha anaenda Elution Plant kuchoma. Ni kuprocess very expensive. Na hizi zote ni under locals 100%
Baada ya hapo mtu anachoma.
Ukienda pale Chunya mjini kuna Elution plants za kutosha na zote ni za Locals , zote ziko busy hatari wachimbaji wadogo wanapiga kilo kilo za dhahabu kila siku , Elution Moja inaweza choma hata kilo 10-15 kwa siku, watu wanapiga sana hela ya dhahabu japo pia msoto wake mashimoni sio haba.
Wachana na hawa wakunya ignorants all they know ni kuishi kwenye vyumba vya kupanga na kununua vigari vya mwaka 2005 na kuzungumza kingereza kibovu. They know nothing about Tanzania.
 
Back
Top Bottom