Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo.com
IMG_1696.jpeg
IMG_1699.jpeg
IMG_1697.jpeg
IMG_1698.jpeg
 
haha hawa huwa wepesi kusahau kipindi wamekomaa na collision of the willing, walituona maboya sana kumbe tunawacholea ramani, wakakopa kwa wingi sana na kukawa na mapicha kibao sana kumbe sisi tunawachora tu, ikawa mara lapsset, mara flyovers , konza satellite city. kilichotokea wamekopa wamekeza kwenye miradi isiyokuwa na faida wala return , galana irrigation scheme mpaka leo imekufa . wamebaki na mabega tu, within three years hata hiyo mombasa port inaenda kosa soko kabisa
Msa port kuwa mshindani wetu ni uzembe flan tu wa viongozi wetu,kijiografia ni aibu kwetu kwa rwanda na burundi kutumia msa port,now tumeamka naina burundi wameacha kabisa kutumia msa,rwanda na wenyewe kidogo kidogo naona wanaikimbia
 
Msa port kuwa mshindani wetu ni uzembe flan tu wa viongozi wetu,kijiografia ni aibu kwetu kwa rwanda na burundi kutumia msa port,now tumeamka naina burundi wameacha kabisa kutumia msa,rwanda na wenyewe kidogo kidogo naona wanaikimbia
Kilochosababisha kipindi like isitumike kipindi like ilikuwa network ya barabara Kanda ya kati, kumbukq Kuna miaka ilitulazimu kuzungukia Nairobi kuja dar na ndo kipindi hicho wakenya wakatembelea fursa.
Pia bandari haikuwa fasta katika utoaji mizigo tofauti na Sasa.
Pia nahisi kulikuwa na mapandikiI miaka hiyo maana kumbukq Kuna bandari ya tanga iliuwawa makusudi kabisa.
Ila kwa Sasa Kuna maboresho makubwa sana na mfumo wa Sasa kuwa bila mapato kuongezeka ukurugenzi wako uko kitanzini, imesababisha Sasa hivi watu wafanye kazi kama wamerogwa.
Mfano tu angalia halmashauri zinavyohangaika kutafuta mapato.
 
Back
Top Bottom