Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

US infrastructure ni outdated 😂😂😂 in case you don’t know. Unajua walijenga lini.? We instead of trying to catch up with the western infrastructure we decided build them modern world infrastructures ..
Hao wamezoea outdated infrastructure kama SGR ya gari moshi karne hii na airport inayo leak kama uyoga 🤣🤣🤣
 
Wakundustan hii sio international airport, hii ni very domestic airport 90% inahudumia watalii, mainly wa mbugani, Kilimanjaro na Zanzibar connecting from our major international airports like JNIA, Kilimanjaro, Zanzibar lakini cha kushangaza bado mnajilinganisha na sisi,

Kwa watanzania sasa, angalieni jinsi mamlaka zetu za serikali zisivyo na akili, hili jengo ni jipya kabisa na lengo la ujenzi ni kutokana na udogo na uzamani wa jengo la awali, lakini em angalieni lilivyofurika tayari, je ni kweli walitumia akili timamu wakati wa design? Sababu tayari na lenyewe linaonesha limeshakua dogo 🙄


View: https://x.com/Jambotv_/status/1839707117412069438?s=19

Safari Airport
 
Ngoja uganda aanze ku export mafuta via Tanga port halafu totarudi kwenye huu mjadala wa port volumes between Tz and Kenya
Are you aware Mombasa port alone handles more cargo than all the Tanzanian ports combined?

Are you aware that Uganda is already in the process of starting constructing their SGR towards Kenya?
 
Are you aware Mombasa port alone handles more cargo than all the Tanzanian ports combined?

Are you aware that Uganda is already in the process of starting constructing their SGR towards Kenya?
kuwa na cargo kuizid tanzani ni kwa sababu ya expansion mliyofanya mwanzo na kwa sasa tayari kuna expansio imeshafanyika vuta data za miezi sita nyuma halafu ufanye comparison na miaka ya nyuma.
vuta data za rwanda kupitisha mizigo kenya kwa mwaka jana then fanya comparison na mwaka huu. mmebaki na uganda only ambaye
Itakusaidia na nini?😂😂
itasaidia kututambulisha kwamba hatujadiliana na mtu mweny matatizo ya akili
 
Ngoja uganda aanze ku export mafuta via Tanga port halafu totarudi kwenye huu mjadala wa port volumes between Tz and Kenya
haha hawa huwa wepesi kusahau kipindi wamekomaa na collision of the willing, walituona maboya sana kumbe tunawacholea ramani, wakakopa kwa wingi sana na kukawa na mapicha kibao sana kumbe sisi tunawachora tu, ikawa mara lapsset, mara flyovers , konza satellite city. kilichotokea wamekopa wamekeza kwenye miradi isiyokuwa na faida wala return , galana irrigation scheme mpaka leo imekufa . wamebaki na mabega tu, within three years hata hiyo mombasa port inaenda kosa soko kabisa
 
Kimsingi interior design ya Arusha airport is better and beautiful than your number 2 best international airport. And guess what Arusha airport ni uwanja wa ndege ndogo za ndani tu. 😂😂
KISUMU INTERNATIONAL AIRPORT
1727541128660.png
1727540924239.png

1727541271147.png
1727541194660.png

VERSUS NYEGEZI BUS TERMINAL
1727541761575.png

1727541820851.png

Airport za kenya ni level ya bus terminal hakuna haja hata ya kuweka airport hapa maana ni mbingu na nchi
 
Back
Top Bottom