concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,314
- 14,357
kwa mkaingiza kiasi gani na hao wageni wote?All Tqnzanian airports combined handles on 5.5M passengers in a year, JKIA handles 11M.
kwa mkaingiza kiasi gani na hao wageni wote?All Tqnzanian airports combined handles on 5.5M passengers in a year, JKIA handles 11M.
umeshindwa kuverify na nimekuambia kisumu ni level ya bus terminal haina hadhi ya mimi kusumbuka nayo, nimekuletea songwe hapo na video za mpaka ndani leta video za ndani za kisumu hapaMambo ya Kisumu umeawachana nayo?😂😂🤣🤣
umesema uko ahead ya tz nimekuonesha kwa hizo airstrip zenu ndo mko ahead?Mambo ya Kisumu umeawachana nayo?😂😂🤣🤣
Who yold you only wageni ndio hutumia ndege? Yani watanzania wote ni wajinga tu hivi?😂😂😂kwa mkaingiza kiasi gani na hao wageni wote?
Hizi ni hasira za Kisumu kushinda Arusha Mabati rolling mill😂😂😆yaani kisumu imekaa kidormitory , imekaa kama dom za lukenya academy miaka ya 1998
haha wewe ndo kilaza ukisafiri na kq letsay kwa kupitia jkia kwenda dubai 90% ni foreigners na kuna kipindi unakuta wakenya labda wawili tu.Who yold you only wageni ndio hutumia ndege? Yani watanzania wote ni wajinga tu hivi?😂😂😂
Half of hat 11M are domestic travellers moving from one airport to the other. That’s thrice the domestic travellers in Tanzania😂😂
By Juy 2023 JKIA had already handled 8.2M passengers, almost twice of what all Tanzanian airports did😂😂👇👇umesema uko ahead ya tz nimekuonesha kwa hizo airstrip zenu ndo mko ahead?
Maybe naongea na mwenye hata hajaikanyaga airport😂😂haha wewe ndo kilaza ukisafiri na kq letsay kwa kupitia jkia kwenda dubai 90% ni foreigners na kuna kipindi unakuta wakenya labda wawili tu.
arusha is an airstrip meant for tourists and not for international travelers, na hakuna siku utasikia kq imeshukisha pale, hiyo arusha ni airstrip kama kakamega and the like, sasa wewe niletee mfano wa airstrip ya kenya inayolingana na arushaHizi ni hasira za Kisumu kushinda Arusha Mabati rolling mill😂😂😆
Vile mlisema tulete ya Kisumu Kwani hamkujua Arusha ni airstrip?😂😂arusha is an airstrip meant for tourists and not for international travelers, na hakuna siku utasikia kq imeshukisha pale, hiyo arusha ni airstrip kama kakamega and the like, sasa wewe niletee mfano wa airstrip ya kenya inayolingana na arusha
kwahiyo hizo data unaona zimeishia july sio, yaan mwaka mzima wa 2023 ndoBy Juy 2023 JKIA had already handled 8.2M passengers, almost twice of what all Tanzanian airports did😂😂👇👇
View attachment 3109875
Huoni 2023 imewekwa star? Hiyo ni kumaanisha the data was taken before end of 2023.kwahiyo hizo data unaona zimeishia july sio, yaan mwaka mzima wa 2023 ndo
Are you aware that Kisumu handles more passengers than Kilimanjaro?😂😂hakuna aliyesema ulete za kisumu hapa, nimekuelekeza kuwa kisumu according to you ni international airport huwez ilinganisha na arusha , kilimanjaro ndo international na iko inajengewa terminal mpya, songwe nipangwa ianze kupokea inrenational palnes ila bado haijaanza,
kwa tanzania functional international ni tatu zanzibar, jkna , na kilimanjaro ndo chezea hapo, ila ukitaka twende regional utaiweka arusha
jedwali lako halisemi hivo limebeba mwaka mzima sio nusu mwaka na total yajkia ni 8.32mil it means kuna data mpaka za december
Hizi ni data za serikali ya Tanzania, unajua kuwaliko?😂😂👇👇eti songwe haifikishi 1000 kwa mwaka hizo data zako zisikupotoshe twice daily flights to songwe na regional airport all days the plane is full . fuatilia ile record zilizopo it handles 15,000 per year na kwa sababu bado ilikuwa katika expansion
na unajua hao wote ni only tourists ,hakuna wafanya biashara wanaoshukia hapo na unajua kuwa kwa safari za ndani tunatumia arusha airport ambayo iko less than 100km kutoka kilimanjaroAre you aware that Kisumu handles more passengers than Kilimanjaro?😂😂
Kilimanjaro in 2023 handled only 787k passengers, Kisumu did over 800k. Songwe kumbe is not even handling 1,000 passengers kwa mwaka😂😂
View attachment 3109878
Do you know the meaning of star after a number? Shule ulifika level gani?jedwali lako halisemi hivo limebeba mwaka mzima sio nusu mwaka na total yajkia ni 8.32mil it means kuna data mpaka za december