Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pamoja na serikali yetu sio perfect ila sometimes tukubali tuna watu wenye akili timamu serikalini, Nigeria ni largest economy in Africa ungetegemea wangefanya vitu kwa ukubwa huo lakini namna serikali yao inaendeshwa ni aibu, brt yao imetafuna pesa nyingi kuliko yetu by far lakini angalia busses kutoka same marcopolo company waliyoorder, hayana AC, ni mafupi, hayana handicapped priority ♿ ni mabaya in short lakini sisi tumeenda kutungua kitu first class, lazima wakundustan watuchukie
🇳🇬
images (23).jpeg
images (24).jpeg


🇹🇿
images (21).jpeg
 
Bongolalas hujiskia sukari sana kwa hii thread, utadhani hawateseki kumbe they are bottom of the barrel sh*t.

Image
Tukiwa kama third world country uwa tunakubali na changamoto zetu na kuzifanyia kazi,changamoto nyingi za miaka 5 iliyopita zishatatuliwa na bado zipo nyingine ambazo zinafanyiwa kazi,tofauti iliyopo na kunyan,utakuta mkunya anaishi kwenye nyumba ya bati na anajiona yupo ulaya na hata ukimuambia ukweli hawezi kukubali kama yy ni maskini
 
Hii ishu badala ya akina Abood kutaka kuleta ukiritimba kwa SGR, walitakiwa kujiongeza, wangetumia mabasi yao kwenye BRT. Basi moja lingetengeneza mata mbili hata maratatu kwa pesa wanayotengeneza mikoani.
Nadhan ndo hoja waliyonayo brt ya kuwavutia wawekezaji wa ndani wanunue mabasi kwa ajili ya brt. Wap wenyewe kupitia taboa washawahi kuomba kupitia vikao vyao
 
Bro, local gold miners don't study geology. Most of them are illiterate. Which planet do you idiots live on?🤣 These are your typical local gold miners. Do they look like graduates to you?

View attachment 3103749
Kwa akili zako hapo unaweza kupata mzigo wa kilo 100+??
Hapo hata gram 100 hupati.
Unapoambiwa mchimbaji mdogo haimaanishi anachimba kwa style hiyo maana yake ni mchimbaji mwenye leseni ndogo.
 
Huyo aliyepata hiyo hela umesikia anamiliki mpaka mtambo wa kuchenjua gold unafikiri ni hohehae huyo?
Ndio mimi namshangaa.
Anadhani mtu kuitwa mchimbaji mdogo ndio anachimba kwa chepe.😂😂😂😂
Mchimbaji mdogo ni yule mwenye leseni ndogo ya uchimbaji inayomlimit kusafirisha huo mzigo.
Ila anakua na vifaa vikubwa tu ikiwemo hadi crusher.
 
Sasa akishaangukia pesa atabakije hohehahe? The point is, there's nothing genius about what he did and definitely nothing that proves you have a well functioning country. It's sheer luck that can happen to any lowlife in any shithole of a country.
Unajua ni mercury kiasi gani inahitajika kusafisha dhahabu ya hizo kilo zote!??
Unajua bro??
Mbona leo unaongea vichekesho hivi!??
 

Let me tell you kijana kupata hizi kwa sasa ni ndoto. Kama vile viwanja vya ndege. Serikali ilishaweka Mradi wa kuondoa hayo mazingira mabovu shule za msingi (BOOST)


Shule za Sekondari (SEQUIP)


Japo sijapata picha yake kwa sasa ila hiyo shule ipo Lusahunga halmashauri ya Biharamulo hii ndio marekebisho makubwa ya shule za halmashauri I don't think hiyo itakosekana.



 
Back
Top Bottom