Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuuliza wewe umepata ngapi if mining is not luck? Tumewaambia mining is luck and that’s why huyo jamaa kapata $8M mkakataa, sasa tuambie wewe umepata ngapi?
Nani kakwambia ni luck wewe!??
Kama ni luck mtu ange deploy vifaa vingi na kupoteza hela nyingi!?
Kizibo kimoja cha mercury ni Tzsh 4000.
Jiulize unahitaji vizibo vingapi ujaze chupa ya lita moja kutumia kusafishia dhahabu.
Pia jiulize je huyo alijiendea tu sehemu na kuanza kuchimba pasi na kufanya research ya udongo husika!??

Mie sikuwahi kupata dhahabu gram zaidi ya 400.
Mwisho wangu ilikua 400 grams.
 
Ndivyo unavyojidanganya!??
Unajua Tanzania ina jumla ya migodi mingapi!?
Kuna migodi midogo,ya kati na mikubwa.
Je unalifahamu hilo!??
Yet hao wachimbaji wadogo takes decades to get something meaningful. The last time we heard of small miner getting good money from gold was I think in 2019 when Maasai guy got luck.

Actually 99.99% of Tanzanian small miners haven’t even got around $10k since they started mining.
 
Bongolalas hujiskia sukari sana kwa hii thread, utadhani hawateseki kumbe they are bottom of the barrel sh*t.

Image
Mention the name kijana, unless unataka tulete kila picha mbona zimejaa Kenya.
 
Umeonyeshwa shule ya msingi wewe unatuonyesha secondary school. Umefinywa huna pakutorokea. 🤣 🤣 🤣
 
Yet hao wachimbaji wadogo takes decades to get something meaningful. The last time we heard of small miner getting good money from gold was I think in 2019 when Maasai guy got luck.

Actually 99.99% of Tanzanian small miners haven’t even got around $10k since they started mining.
😂😂😂😂😂Bro una uhakika na unachoongea!?
$10k equals to Tzsh 27 millions and equals to 18 grams.
Sasa kama watu tushawahi kupata 400 grams hizo 18 grams kwanini zitushinde??
Umepiga hesabu vizuri kweli!??
$10k ni hesabu ya gram 18-20.
Ungesema kupata kwanzia $200k ni mtihani ningekubali.
Ila $10k watu wanazichezea daily tena ni mineral brokers achana na hao small scale miners.
 
Mention the name kijana, unless unataka tulete kila picha mbona zimejaa Kenya.
Kipi kingine utatuonesha na mnashinda mkirudia Ile shule ya tope ya Kenya humu?🤣 Si mjadala umeanza tulipokuambia shule kama hizo Bongolala zipo ila shule yenye hadhi ya MPESA School hamna?🤣🤣

Si nyie ndio mmejiita first world eti hamna shule kama hizi? Nimekwambiaje hapo awali, ukitoa Africa Kusini na Botswana (alafu labda Rwanda, Eswatini na Lesotho) hamna nchi Africa Kusini mwa Sahara isiyo na shule zinazokaa hivi. Ndio maana huwa tuna wacheka tukiona mkirudia rudia picha ya hiyo shule ya Kenya ya tope
 
Nani kakwambia ni luck wewe!??
Ni luck. That’s why only one in a million small miners gets those money. Even the ones that are lucky to get those huge gold can’t repeat the same trick, Tangu yule Maasai apate $3M, ashaipata even a 10th of that again? It’s now the 6th year.
 
Mungai akataka kuleta mfumo wa Kenya akachanganya physics na chemistry aiseee akidhani elimu ni rahisi hivyo kama wanavyoichukulia huko kwao.
Huu mfumo waliuleta Tanzania 1993 kwa shule chache kuufanyia majaribio, walichanganya phy, chem na bio kuwa somo moja, eti unified science. Zilikuwa ni sera mbovu za IMF, za kutufanya mbu mbu mbu.
 
Ni luck. That’s why only one in a million small miners gets those money. Even the ones that are lucky to get those huge gold can’t repeat the same trick, Tangu yule Maasai apate $3M, ashaipata even a 10th of that again? It’s now the 6th year.
Hakupata $3 millions ilikua zaidi ya hiyo.
And yes alipata mengine mwaka juzi nadhani yenye thamani ya $400k kama sijakosea.
Is not luck mzee ni hardwork ndio inaku pay.
Luck hupatikana sehemu ambayo unajua ni impossible kufanikiwa.
Watu wamewekeza nguvu na fedha huwezi ukasema wametembelea bahati.
 
Use singular. Wewe umewaipata ngapi?
Sikuwa pekeyangu sasa how can I use singularity!?
Tumepata sio nimepata na ilikua 2022 gram 400.
Na ndio ilikua mwisho wa mimi kujihusisha na hizo biashara pasua kichwa.Hata leseni ninayo inasoma mwaka 2022.
 
Hakuna ulichopata
 
Back
Top Bottom