buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Haya lete nyingine kijana.
MCHENGERWA AFIKA SHULE YA MSINGI MWAMASHIMBA, AMPA ONYO MKURUGEZI
OR-TAMISEMIWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema hatamvumilia mkurugenzi yeyote wa halmashauri ambayo ataitia aibu serikali na kuifanya itukanwe kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.Mchengerwa ametoa kauli hiyo baada ya kufika katika
View: https://youtu.be/990pbiJVRu4?si=qF2Or7f8HwM758l-