Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo unajifanya unajua sana sector ya madini Tanzania kunizidi ama?

Soko la madini ni kwaajili ya local miners, kuna class 1 miner atakuja kuuza dhahabu kwenye haya masoko?


View: https://x.com/geita_rs/status/1107645390202044416?t=R7JdqLg_8omb0nU_wrZJ-w&s=19

Minerals that pass through here arenโ€™t even 0.0000001% of total minerals being mined in Tanzania. Tanzania mining industry is held by foreigners and thatโ€™s why Tanzania has the most poor people in East Africa despite having the most natural resources after DRC.
 
Basi mbona wasitengeneze?
Kutengeneza kwa mara moja ama kwa wiki ama kwa mwezi!??
Mie nina wachimbaji wadogo nawafahamu per month pale Morogoro wanasafirisha hadi 8 kilograms of Gold tena ni 18 carat ambayo one kilogram ni $180k-200.
Je huyo gambler per month anao uwezo wa kushinda hiyo jackpot kwa usawia huo consistently!?
 
Kundustan wataendelea na mashindano yanayotokea baada ya miaka mitano. Sisi kila mwaka tunafuraha

1727084972780.png
 
yanga ishaokota tayari 900,000 USD ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuingia tu makundi

View: https://x.com/cafclcc/status/1837967699596431414?s=46


simba tayari ishaokota 400,000 USD kuingia makundi tu

View: https://x.com/cafclcc/status/1837975159590052116?s=46



wao wako busy wanashangilia upuuzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na kupanua vipumulio vyao

Ifike mahali Yanga na Simba ziwe timu za East Africa yote matawi yafunguliwe kila mahali East Africa ๐Ÿ˜
 
Ndio mimi namshangaa.
Anadhani mtu kuitwa mchimbaji mdogo ndio anachimba kwa chepe.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mchimbaji mdogo ni yule mwenye leseni ndogo ya uchimbaji inayomlimit kusafirisha huo mzigo.
Ila anakua na vifaa vikubwa tu ikiwemo hadi crusher.
Msamehe bure haijui Tanzania mining industry vizuri yeye ana compare na ya kwao๐Ÿ˜
 
Geita Gold mine is manage by a South African company. Hakuna Mtanzania hapo hata moja.
Mara Gold mine is Done by Barrick.
Kahama ownerd by Barrick for 84% and GOT for 16%. Hakuna mtanzania wa kawaida hapo.
Shinyanga gold mine also owned by Barrick.

So tell me, kwa hizo zenye zimetajwa, ni gani zinamilikiwa na common people and how much did those common people generate?
Uchumi uko led na private sector wewe ulitaka Serikali ndio ifabye biashara? Na private sector inajumuisha foreigners na locals shida iko wapi hapo. Mbona nyie GTC, expressway na estates nyingi ni foreigners? Investment haichagui utaifa wa mwkezaji.
 
Somo gani? Utapeana somo kwa kitu hujui? Hujui chassis ni nini, kusomesha mtu ndio utajua?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚.

We assemble chassis in Kenya whether you like it or not๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ.
Oh you assemble only I thought you make chassis in Kenya ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hakupata $3 millions ilikua zaidi ya hiyo.
And yes alipata mengine mwaka juzi nadhani yenye thamani ya $400k kama sijakosea.
Is not luck mzee ni hardwork ndio inaku pay.
Luck hupatikana sehemu ambayo unajua ni impossible kufanikiwa.
Watu wamewekeza nguvu na fedha huwezi ukasema wametembelea bahati.
Alipiga hela ndefu zaidi ya hiyo $400k ilirange kwenye 12bn shilings kama usd 7m wakati huo
 
Uchumi uko led na private sector wewe ulitaka Serikali ndio ifabye biashara? Na private sector inajumuisha foreigners na locals shida iko wapi hapo. Mbona nyie GTC, expressway na estates nyingi ni foreigners? Investment haichagui utaifa wa mwkezaji.
Ebu tutajie hizo estate mingi za foreigners๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚.

Zikifika 10 nahama JF๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom