Ni wewe unasema.Hakuna ulichopata
Kama 400 grams ni hakuna nilichopata hongera.
Ni wewe unasema.Hakuna ulichopata
There are more sportpesa jackpot winners than Tanzania local miners who get minerals worth over $1M.Ni luck. That’s why only one in a million small miners gets those money. Even the ones that are lucky to get those huge gold can’t repeat the same trick, Tangu yule Maasai apate $3M, ashaipata even a 10th of that again? It’s now the 6th year.
leta ushahidi AVA ananunua anafunga kwenye marcopolo mm nafunga acc sasa hvi mamaeee😂😂😂😂😂😂Utalia sana. Bolts and nuts zinakuwa manufactured by Boltport Fasteners and Coastal Solutions. Another question?😂😂🤣
kama unataka kujamba songea mbele nichomoe taratibu 😂😂😂😂Trophy? Ama top 10 ndio trophy siku hizi?😂😂
Unalia ukiwa wapi? 😂😂🤣😂
View attachment 3103972
View: https://x.com/ntvkenya/status/1593579874492600325
Na ujue zingine huwa anaexport to Tanzania and Uganda😂😂🤣👇
View attachment 3103973
ww hujui maana ya aseembly ndio maana unapata shida sana marcopolo sio kampumi ya kenya hehe ile ni kampuni ya watu so ukipewa leseni maana yake unakua assembler kazi yako ni kufata masharti yao na kununua vifaa kutoka kwao na sio vinginevyo yani mzungu akupe leseni alaf ukanunue bolt and nut kwa kanji bhai uharibu jina la kampuni ambayo amelitengeza jina kwa miaka 100Somo gani? Utapeana somo kwa kitu hujui? Hujui chassis ni nini, kusomesha mtu ndio utajua?😂😂🤣😂.
We assemble chassis in Kenya whether you like it or not😂😂🤣.
Because he has never replicated it again.Kwanini useme luck??
Ama hakuna ashaipata hata $1k in those mines😂😂.There are more sportpesa jackpot winners than Tanzania local miners who get minerals worth over $1M.
Si ulitaka kujua kama tunate geneza? Kwanza coastal solutions ndio mostly inatengeneza automotive bolts and nuts😂leta ushahidi AVA ananunua anafunga kwenye marcopolo mm nafunga acc sasa hvi mamaeee😂😂😂😂😂😂
Hujui definition ya luck? If you can't do it with the same result regularly, it's luck.Kwanini useme luck??
Na biashara zingine zipo hivyo hivyo sio madini tu.Because he has never replicated it again.
Hakuna luck sehemu mtu anayoweka effort na pesa.Hujui definition ya luck? If you can't do it with the same result regularly, it's luck.
Huyo Gambler anaweza akatengeneza fedha uwiano wa hiyo consistently!??Ama hakuna ashaipata hata $1k in those mines😂😂.
Gambler has more chances of winning $1M than a Tanzanian miner getting gold worth $1M😂
Kwa hiyo unajifanya unajua sana sector ya madini Tanzania kunizidi ama?Geita Gold mine is manage by a South African company. Hakuna Mtanzania hapo hata moja.
Mara Gold mine is Done by Barrick.
Kahama ownerd by Barrick for 84% and GOT for 16%. Hakuna mtanzania wa kawaida hapo.
Shinyanga gold mine also owned by Barrick.
So tell me, kwa hizo zenye zimetajwa, ni gani zinamilikiwa na common people and how much did those common people generate?
kwamba marcopolo mwenye kampuni aliekupa leseni bolts and nuts zake akauze wapi?? yani unaongea as if marcopolo ni kampuni yenu 😂😂😂😂😂Si ulitaka kujua kama tunate geneza? Kwanza coastal solutions ndio mostly inatengeneza automotive bolts and nuts😂