Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bahati na sibu?

Okey let's do this
Katika gold worth of 20 billion government has collected roughly 1.4 billion as overall taxes, tariffs, royalties, revenues etc

Meanwhile in 2023/24 government collected 753 billion from only maduhuli which is not even taxes, can you guess what tones of gold taxed from all that money and how many millionaires were made from such business? 😂😂😂

Nenda kwenye cross multiplication uje na jibu mwenyewe
20 billion = 1.4 billion
X. = 753 billion

Halafu wote hawa ni wabongo hakuna mgodi wa mgeni, then njoo niambie Kunyaland sio hata naislum kuna venture ipi ya business inaweza kutengeneza pesa yote hii kwa average Kenyans then ndio nitaamini kwamba kweli mnatuzidi dolla millionaires

View attachment 3103791View attachment 3103792
We all know who make those Millions are foreigners with big companies in Tanzania. The smaller miners depend on luck to even get 10k fortune. Nimekuuliza kama sio bahati mbona wewe hujapata hiyo $8M?
 
Nionyeshe venture moja Kunyaland done by locals that could accumulate all these earnings just from the 1% of their total gains


View: https://x.com/TheChanzo/status/1542446205334069248?t=mr4Tq_vMPIeBsPyTAM6hww&s=19

Geita Gold mine is manage by a South African company. Hakuna Mtanzania hapo hata moja.
Mara Gold mine is Done by Barrick.
Kahama ownerd by Barrick for 84% and GOT for 16%. Hakuna mtanzania wa kawaida hapo.
Shinyanga gold mine also owned by Barrick.

So tell me, kwa hizo zenye zimetajwa, ni gani zinamilikiwa na common people and how much did those common people generate?
 
hvi ww utanifundisha nn kuhusu magari??
ikiwa hata hujui maana ya assembling ni nn, tafuta kiwanda kinatengeza bolts and nuts hapo kenya unitag nifunge acc sasa hvi
Utalia sana. Bolts and nuts zinakuwa manufactured by Boltport Fasteners and Coastal Solutions. Another question?😂😂🤣
 
kwamba dveki steel supply wanazalisha chuma hapo kenya au unamaanisha wanafanya shughuli gani??😂😂😂😂

nimekwambia hvi niletee ushahidi kuna any part of the car even bolt and nut zikitengezwa kenya ukipata unitag mm nifunge acc sasa hvi

yani nyinyi ni wapumbavu kias kwamba munafkiri scania au BYD ni kampuni zenu

naona lile somo la kusema munazalisha chasis lilikuingia vzr sana😂😂😂😂
Unalia ukiwa wapi? 😂😂🤣😂

1727073070844.jpeg




View: https://x.com/ntvkenya/status/1593579874492600325

Na ujue zingine huwa anaexport to Tanzania and Uganda😂😂🤣👇

1727073199880.jpeg
 
naona lile somo la kusema munazalisha chasis lilikuingia vzr sana😂😂😂😂
Somo gani? Utapeana somo kwa kitu hujui? Hujui chassis ni nini, kusomesha mtu ndio utajua?😂😂🤣😂.

We assemble chassis in Kenya whether you like it or not😂😂🤣.
 
stuff gani locally au ww kwa akili yako munadhani BYD au zhongtong ni kampuni zenu, kuna protocals nyingi lazima muzifate na lazma muagize vitu kutoka kwa manufacturer direct and nothing else
Does that change the fact that we assemble our vehicles locally?
 
kwamba megh cushion materials ikiwemo viti vyenyewe wanatoa wapi vitambaa wanatoa wapi other materials wanatoa wapi?? kazi yao hao ni kushona viti na kumtengezea mteja in a size mteja anataka
Viti ni chuma na plastics which are manufactured in Kenya😂😂🤣

Vitamba ni materials tu za nguo, haiezikuwa viti before vikatwe na kuwekwa kwenye the skeleton. Wewe utakuwa mjinga hadi lini?
 
Kwa akili zako hapo unaweza kupata mzigo wa kilo 100+??
Hapo hata gram 100 hupati.
Unapoambiwa mchimbaji mdogo haimaanishi anachimba kwa style hiyo maana yake ni mchimbaji mwenye leseni ndogo.
Wewe umepata ngapi?
 
Tukiwa kama third world country uwa tunakubali na changamoto zetu na kuzifanyia kazi,changamoto nyingi za miaka 5 iliyopita zishatatuliwa na bado zipo nyingine ambazo zinafanyiwa kazi,tofauti iliyopo na kunyan,utakuta mkunya anaishi kwenye nyumba ya bati na anajiona yupo ulaya na hata ukimuambia ukweli hawezi kukubali kama yy ni maskini
Munakubali wapi na media zenu hua zinafinywa mak*nde na serikali wakijaribu kuexpose negativity ya nchi. Mara ngapi munalia hapa eti GDP yenu ni ya uongo ya wazungu. 🤣 🤣 🤣
 
Geita Gold mine is manage by a South African company. Hakuna Mtanzania hapo hata moja.
Mara Gold mine is Done by Barrick.
Kahama ownerd by Barrick for 84% and GOT for 16%. Hakuna mtanzania wa kawaida hapo.
Shinyanga gold mine also owned by Barrick.

So tell me, kwa hizo zenye zimetajwa, ni gani zinamilikiwa na common people and how much did those common people generate?
Hao unaowataja ni wachimbaji wakubwa wenye leseni kubwa.
Kuna wachimbaji wadogo na wakati wengi sana zaidi ya 2000+ ambao ni wazawa.
Na hao kwa mwezi hawakosi kilo tatu hadi nne.
 
Hujui tofauti Kati ya shule ya msingi na sekondari? Ama you are just trying to defend the indefensible?😂😂😂

Nimekuletea shule ya msingi lakini wewe unajibu na shule ya sekondari 😂
 
Hao unaowataja ni wachimbaji wakubwa wenye leseni kubwa.
Kuna wachimbaji wadogo na wakati wengi sana zaidi ya 2000+ ambao ni wazawa.
Na hao kwa mwezi hawakosi kilo tatu hadi nne.
Hao wachimbaji wakubwa are the ones holding 99.9999% of all mines in Tanzania.
 
Stick kwenye mada,ya mimi niachie mimi.
Nimekuuliza wewe umepata ngapi if mining is not luck? Tumewaambia mining is luck and that’s why huyo jamaa kapata $8M mkakataa, sasa tuambie wewe umepata ngapi?
 
Hao wachimbaji wakubwa are the ones holding 99.9999% of all mines in Tanzania.
Ndivyo unavyojidanganya!??
Unajua Tanzania ina jumla ya migodi mingapi!?
Kuna migodi midogo,ya kati na mikubwa.
Je unalifahamu hilo!??
 
Back
Top Bottom