The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Kwa sasa 99% ya wakenya wanajua kwamba Tanzania imeshawaacha kimaendeleo, on the contrary over 80% ya watanzania wanachojua kuhusu Kenya ni nchi chafu iliyojaa machokoraa na ma slums everywhere na inayosumbuliwa na njaa.ukweli ni kuwa waliaminishwa kuwa wako mbele sana kuliko nchi yoyote east africa sasa wakija huku wanakutana na vitu tofauti kuanzia usafiri mpaka sehemu za kulala