The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Sure, mwenzake Kaizer chiefs alijichanganya akala mkono ✋ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mamelodi keshachuja. Makocha waliopo Mamelodi ni michosho, wakikutana na Yanga wanapokea kipigo heavy!
Sure, mwenzake Kaizer chiefs alijichanganya akala mkono ✋ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mamelodi keshachuja. Makocha waliopo Mamelodi ni michosho, wakikutana na Yanga wanapokea kipigo heavy!
Teargas nyang'au wenzako tayari wameanza kubondwa huko. Al Ahly wanawanyuka Gor Mahia kama mbwa koko saa hii.
View: https://m.youtube.com/watch?v=SrajphY8DvI
Major non footballing nation 🤣🤣🤣🤣🤣Kama kawaida, non football country 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3102394
Kesho mfanye jambo basi mtani tuzidi kuyacheka haya majinga.Mashemeji imekuwaje tena? Sasa mmebakiza timu gani CAF au ndio mpaka mwakani mjaribu bahati tena 🤣🤣🤣
Hii ni ranking ya usiku mmoja tuu mtoto mdogo hakai na pesa 🤣🤣🤣Now it's official.
View attachment 3102550
Hatujawahi kuwaangusha watanzania tukiwa na jambo letu. Kesho tatu kwenda mbele biriani kama lote na sotojo juu 🤣🤣🤣🤣Kesho mfanye jambo basi mtani tuzidi kuyacheka haya majinga.
Kesho utafurahia pira biriani limerudi ubaya ubwela 🤣🤣🤣🤣Sure, kesho nipo Simba kwa muda.
Shika adabu yako kijana tupe heshima yetu makolo ndio nani?Makolo washinde kesho tuendelee kuwa tushio africa,kesho niko na makolo wasituangushe
Vipi hawa wakulungwa hawajarudi tuu bado au ndio wanachungulia na kutoka fasta 🤣🤣🤣🤣🤣
Bila kusahau ava na starlink😀Vipi hawa wakulungwa hawajarudi tuu bado au ndio wanachungulia na kutoka fasta 🤣🤣🤣🤣🤣
Tutegemee comeback ya apartments na Talanta leo kwa wingi 😁