Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Yanga kwa sasa wanauwezo kabisa wa kutwaa ubingwa wa Afrika.Yanga miyeyusho mzee, hakuna wa kushindana naye hapa East, central, west and South Africa except mamelody pekee kule South Africa. Wapinzani wa Yanga kwa sasa wapo North Africa kwa baadhi ya timu tena chache hazifiki tatu.