Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar Dom train moja inatoka Dar Asubuhi na nyingine inatoka Dom asubuhi hizo ni treni 2. Zikifika Dar na Dom zinageuka asubuhi kufanya idafi ya treni 4. Jioni the same one from each end zinatoka na kurudi 4 trains jumla 8 train per day Dar Dom.
Hii ratiba yako haipo.
Dar Dom kuna asuhuhi na jioni(2 trips)
Dom Dar kuna asubuhi na jioni(2 trips)
So Dar Dom Dom route ina treni 4 tu kwa siku.
Dar Moro Dar hivyo hivyo ina treni 4 tu kwa siku. Ila mtu anaeenda Moro au kutoka Moro ana extra option kupanda treni ya Dodoma.
 
Wealth by luck is just that. Luck. The fact that luck is the only factor that can make an average Tanzanian rich tells more about Tanzania than Kenya. I can however show you many Kenyans who became rich through hard work.......and they didn't necessarily do it within in areas dominated by their communities.
Huko Kenya hakuna luck sharti ni Kuwa mwanasiasa
 
Bahati nasibu. Nairobi alone has more millionaires than entire Tanzania. Alafu wewe mbona usipate hiyo $8M?
Bahati na sibu?

Okey let's do this
Katika gold worth of 20 billion government has collected roughly 1.4 billion as overall taxes, tariffs, royalties, revenues etc

Meanwhile in 2023/24 government collected 753 billion from only maduhuli which is not even taxes, can you guess what tones of gold taxed from all that money and how many millionaires were made from such business? 😂😂😂

Nenda kwenye cross multiplication uje na jibu mwenyewe
20 billion = 1.4 billion
X. = 753 billion

Halafu wote hawa ni wabongo hakuna mgodi wa mgeni, then njoo niambie Kunyaland sio hata naislum kuna venture ipi ya business inaweza kutengeneza pesa yote hii kwa average Kenyans then ndio nitaamini kwamba kweli mnatuzidi dolla millionaires

Screenshot_20240923-045103.jpg
Screenshot_20240923-045204.jpg
 
Wewe hujui anything kuhusu magari. Kama chassis ndio hujui ni nini, sasa assembling ndio utajua?😂😂🤣😂
hvi ww utanifundisha nn kuhusu magari??
ikiwa hata hujui maana ya assembling ni nn, tafuta kiwanda kinatengeza bolts and nuts hapo kenya unitag nifunge acc sasa hvi
 
Acha nikuonyeshe tano😂😂🤣😂.

1. Dveki steel supplies them with steel and alminium
2. Megh Cushion Industries supplies them with seats.
3. Impala Glass supplies them with windscreen, doors, mirrors and window panes.
4. Most Plastic components are made by plastic manufacturing companies in Kenya.
5. The paints are manufactured in Kenya.


Any other questions?😂😂🤣😂
kwamba dveki steel supply wanazalisha chuma hapo kenya au unamaanisha wanafanya shughuli gani??😂😂😂😂

nimekwambia hvi niletee ushahidi kuna any part of the car even bolt and nut zikitengezwa kenya ukipata unitag mm nifunge acc sasa hvi

yani nyinyi ni wapumbavu kias kwamba munafkiri scania au BYD ni kampuni zenu

naona lile somo la kusema munazalisha chasis lilikuingia vzr sana😂😂😂😂
 
Acha nikuonyeshe tano😂😂🤣😂.

1. Dveki steel supplies them with steel and alminium
2. Megh Cushion Industries supplies them with seats.
3. Impala Glass supplies them with windscreen, doors, mirrors and window panes.
4. Most Plastic components are made by plastic manufacturing companies in Kenya.
5. The paints are manufactured in Kenya.


Any other questions?😂😂🤣😂
njoo unioneshe tofaut ya dveki steel supply na hawa kamal ya dar tofaut yao ni nn😂😂



kwamba megh cushion materials ikiwemo viti vyenyewe wanatoa wapi vitambaa wanatoa wapi other materials wanatoa wapi?? kazi yao hao ni kushona viti na kumtengezea mteja in a size mteja anataka


nilitee kiwanda kinatemgeza plastic material kwa ajili ya scania yoyote hapo kenya mm nafunga acc sasa hvi au ww unahisi scania ni kampuni yenu ??😂😂😂😂😂


eti paints so material za paints munatoa wapi na siku hzi paints zinakuja almost end product from china yani ww unaona watu wajinga sana humu ndani
 
We assemble our stuff locally, nyinyi muna import finished products, yani hata migurudumu pekee hamuwezi funga. 🤣 🤣 🤣
stuff gani locally au ww kwa akili yako munadhani BYD au zhongtong ni kampuni zenu, kuna protocals nyingi lazima muzifate na lazma muagize vitu kutoka kwa manufacturer direct and nothing else
 
yani mkenya na mbuzi tofaut ni mkia tu na mukiwachunguza vzr hawa hata mkia sanyingine wanayo

yani mtu anashangilia scania and BYD utasema ni gari zao sijui mwengine anashangilia isuzu kumbe wanufaika wakubwa ni wa japan, china etc 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom