Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya sasa wameamua kuenda kujenga magorofa nchi zingine. Competition at home has been stiff.

This is the first 30 floor building in Rwanda being built by a Kenyan.


Image
Wewe hata chakula ni shida, mbo ya maghorofa wapi na wapi?
 
Hamna bhaana!😀
We unataka mabasi yanuke vikwapa? Hakuna lisilowezekana. Kama hata SGR tungekuwa na mdahalo, fahamu kabisa hakuna hata mmoja angekubali tunaweza kwakua nchi nyingi Africa hawana hata South Africa na ndio maana Mkwere plan ilikuwa alete SGR ya mafuta ya karabai.

Hapo wamekosea, wangekuja na G8😀😀😀
Nipo na wewe. SGR ni full AC. watu wamebadilika. Kwenda Kimara atakuwa muwekezaji mwingine private. Buses zake zitakuwa full AC.
 
Mmepanda 3 steps, tumepanda 6 steps. Alafu na haya makelele yenu yote ya footballing nation bado tuko mbele yenu.
Mko mbele yetu kwenye kipi, rank za timu ya taifa huwa ni za muda tu na hazina uhalisia, haiwezekani uwe na ligi bora alafu usiitwe football nation kisa rank za CAF zinasema Burundi yupo juu yako na viwanja vyao vile, sisi tuna ligi bora Afrika kuliko nchi zote EA na pia tuna viwanja vzr kuliko nchi zote EA huwezi kutukaribia hata chembe, achana na rank za uongo na kweli, nchi haishiriki Afcon inakuaje mbele ya nchi inayoshiriki Afcon na kuwa na clubs shindani hapa Afrika. Hamtukaribii hata chembe.
 
You are a Quack😂😂😂

Games kama gani Namibia hawajacheza yet Kenya defeated 2-1 last week? You will always remain a Quack.
Wewe mr.difficle tulia watu wacheze mechi zao.
Pia usisahau upo kundi gani AFCON.
Ukizingua tu unapigika unashuka.
Microbiologist gani hajui hata kuandika jina la mdudu😂😂😂😂😂?
Elimu ya Kenya majanga.
 
Mkuu naona Bus za Mchina hazina changamoto kama hivi unavyodhani.

Zile Gari wanajaza sana watu kupita uwezo wa Gari. Pia hazifanyiwi service kwa wakati.

Kuna urasimu mkubwa sana kati ya kitengo cha fedha na maintenance. Hadi hela itoke ni mchakato. Na hapo dereva ana force kuendesha maana ikipaki Gari hakuna allowance. Gari zinazidi kuumia tuu.

Na pia kwa Bulk procurement kama ile Gari nyingi kwanini hawa kuweka kifungu cha kulazimisha wataalam wao waje hapa kujengea uwezo watu watu hapo kwenye kufanya maintenance!? Mbona ni kitu simple kwa size ya order ile!?

Hizo gari za mchina kwa shuruba zilizopata bado naona ni ngumu tu hazina shida. Hadi leo bado milango mizima... Sio poa mtiti wake Ati....
Correct ziko DGV asee, wanajaza kupita kiasi. That's what we need badala ya kukimbilia marcopolo.
 
Back
Top Bottom