Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si numbers from where wewe nguruwe pori??
Pale mlipo mlikaa kwa muda wa miaka mingapi mbaka mkapanda??
Na mind you,ninyi mmepanda baada ya hizi mechi za Afcon qualifier,hao mliowapita kuna mashindano hawajacheza subiri wacheze muone.
You are always a Quack.

1726771685734.png
 
110 na hamkua na ban kama Kenya. 🤣 🤣 🤣
Ndiyo ujiulize sasa inakuaje iwe hivyo wkt tuli qualify mara mbili nyie hamku qualify na hata mwaka huu hamto qualify, haya mambo ya madata Tanzania ilikuwa imelala sn, unaambiwa Mozambique ipo juu ya Tanzania alafu kwenye mashindano huioni, usenge mtupu. Kenya anakuaje juu wkt soka hakuna kule, sio national wala clubs ndiyo hovyo kabisa. Aongee Uganda sio Kenya.
 
Wewe watchman these data zinatengenezwa and compiled na FIFA na sio respective countries😂😂😂.

These rankings are on points earned through games, Yani of all the games mshaicheza your total points are still less than Kenya’s by far.
 
Back
Top Bottom