Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Football nation.

1000312781.png
 
Ikarus pia nadhan. Unakumbuka ziara ya rais wa Hungary.

Mkuu naona Bus za Mchina hazina changamoto kama hivi unavyodhani.

Zile Gari wanajaza sana watu kupita uwezo wa Gari. Pia hazifanyiwi service kwa wakati.

Kuna urasimu mkubwa sana kati ya kitengo cha fedha na maintenance. Hadi hela itoke ni mchakato. Na hapo dereva ana force kuendesha maana ikipaki Gari hakuna allowance. Gari zinazidi kuumia tuu.

Na pia kwa Bulk procurement kama ile Gari nyingi kwanini hawa kuweka kifungu cha kulazimisha wataalam wao waje hapa kujengea uwezo watu watu hapo kwenye kufanya maintenance!? Mbona ni kitu simple kwa size ya order ile!?

Hizo gari za mchina kwa shuruba zilizopata bado naona ni ngumu tu hazina shida. Hadi leo bado milango mizima... Sio poa mtiti wake Ati....
 
Ndio maana kuna Scania Tanzania. Hao Golden Dragon wako wapi hapa Tanzania? Vifaa, service na repairs wanafanyaje kama dealer hayupo?
Serikali haiwezi kuhudumia hizo G7. Kama ni kutaka sifa tumenunua top of the range buses sawa. Mtu wa Mbagala public bus lenye AC la nini? Hio ni hasara nyingine kubwa inakuja.
 
Tatizo ni serikali yenu na management ya BRT. Tatizo hilo haliwezi kuisha kwa kununua high end buses. Hata hizo zitakufa. Hazijazoea shida na ujinga wa Africa.
 
Mkuu naona Bus za Mchina hazina changamoto kama hivi unavyodhani.

Zile Gari wanajaza sana watu kupita uwezo wa Gari. Pia hazifanyiwi service kwa wakati.

Kuna urasimu mkubwa sana kati ya kitengo cha fedha na maintenance. Hadi hela itoke ni mchakato. Na hapo dereva ana force kuendesha maana ikipaki Gari hakuna allowance. Gari zinazidi kuumia tuu.

Na pia kwa Bulk procurement kama ile Gari nyingi kwanini hawa kuweka kifungu cha kulazimisha wataalam wao waje hapa kujengea uwezo watu watu hapo kwenye kufanya maintenance!? Mbona ni kitu simple kwa size ya order ile!?

Hizo gari za mchina kwa shuruba zilizopata bado naona ni ngumu tu hazina shida. Hadi leo bado milango mizima... Sio poa mtiti wake Ati....
Tatizo ni serikali na management ya BRT na tatizo hilo haliwezi kwisha kwa kuleta high end buses,hata hizo zitakufa hazijazoea shida na ujinga wa Africa.
 
Serikali haiwezi kuhudumia hizo G7. Kama ni kutaka sifa tumenunua top of the range buses sawa. Mtu wa Mbagala public bus lenye AC la nini? Hio ni hasara nyingine kubwa inakuja.

Una point hapa Mkuu...

Ngoja tuone mwisho wake... Labda kuna some sort of politics..
 
Tatizo ni serikali na management ya BRT na tatizo hilo haliwezi kwisha kwa kuleta high end buses,hata hizo zitakufa hazijazoea shida na ujinga wa Africa.

Hapa ni kwakuwa tuko vitani tu kuepusha friendly fire...

Ila kwa urasimu wetu... Kama BRT imezingua sijui hizo mode nyingine ambazo zina hitaji uangalizi na matengenezo ya haraka na kwa wakati pale inapohitajika!

Unaweza kuambiwa bhana vumilia nenda trip moja kwanza ukirudi ndio cheque ya matengenezo itakuwa tayari...
 
Una point hapa Mkuu...

Ngoja tuone mwisho wake... Labda kuna some sort of politics..
Private companies kama Abood etc wanakimbilia Mchina kwasbabau ya gharama. Wanajua kuishi na Scania sio kazi rahisi leo BRT hii isioweza hata ku maintain ticketing system waweze kuendesha top of the range Scania? I will be very happy to be proven wrong.
 
Back
Top Bottom