buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Uliiponda ukataka Barabara 😜😜Sgr imewezekanaje Hadi ishindikane kwenye Mabasi?
Uliiponda ukataka Barabara 😜😜Sgr imewezekanaje Hadi ishindikane kwenye Mabasi?
Hadi keshokutwa nataka barabara.Sgr washajenga unataka nibomoe?Uliiponda ukataka Barabara 😜😜
Yaani nimecheka peke yangu.Si ulizema that Plate number ni for Transit kwenda nchi jirani au sio wewe?
And yet those Yutong don’t last 2yrs on the road before they become disfunctional.And who told you there are fake autos in the world? You can't compare Yutong and low budget Scania assembled in Kenya
Good thing about China made buses you buy the high quality luxury coaches at a very reasonable price
Those are both fabricated and assembling. Faida is bigger than your imagination.Embu piga faida inayopatikana katika assembling ya,hizo buses halafu upige mara 3000 tuone uchumi umefaidika kiasi gani.
Mbona mambo ya gorofa inawaumiza hivi? Did I tell you mkose pesa za kujenga gorofa? Investors pia wanaogopa kuwekeza Tanzania juu wanajua those gorofa will no be occupied 😂😂Wewe hata chakula ni shida, mbo ya maghorofa wapi na wapi?
Brain ya Tanzanians resolves around food. No wonder mtu akianza kuongelea pesa na investments wanalia, wanakasirika na kujaza kukuita majina 😂😂Mtu ana kazi, ana gari, ana investment na bado unamuongelea mambo ya chakula? Vumbistan mnakuwanga na ushamba sana.
Do you know the reason I call you a Quack? It’s because you are ignorant. Mtu mzima anajiita CO lakini hajui there’s something called spelling error and autocorrect. Wewe on the other hand you don’t know anything about microorganisms, you don’t know how they spread, how they diagnosed, you don’t know how they are prevented and finally you don’t know how they are killed and treated.Wewe mr.difficle tulia watu wacheze mechi zao.
Pia usisahau upo kundi gani AFCON.
Ukizingua tu unapigika unashuka.
Microbiologist gani hajui hata kuandika jina la mdudu😂😂😂😂😂?
Elimu ya Kenya majanga.
Nilisema the plate number is for transit from the dealer to the Customer. It doesn’t matter which customer and country. Mbona uko mjinga hivi?Si ulizema that Plate number ni for Transit kwenda nchi jirani au sio wewe?
🤣 🤣 🤣 🤣 Kundudwellers hawajawahi kuwa na akiliNilisema the plate number is for transit from the dealer to the Customer. It doesn’t matter which customer and country. Mbona uko mjinga hivi?
Gays ndio wako na akili?😂😂😂🤣 🤣 🤣 🤣 Kundudwellers hawajawahi kuwa na akili
Hayo mambo ya kuchamba watu, tulishawachia nyie wanawake. Hapa tuanajadili kuhusu big projectsGays ndio wako na akili?😂😂😂
Acha mambo ya ushoga, utapatwa na hemorrhoids and rectal prolapse😂😂
Ulituzidi nafasi ngapi??Mmepanda 3 steps, tumepanda 6 steps. Alafu na haya makelele yenu yote ya footballing nation bado tuko mbele yenu.
Uhalisia zinazo mkuu tuwapongeze.Mko mbele yetu kwenye kipi, rank za timu ya taifa huwa ni za muda tu na hazina uhalisia, haiwezekani uwe na ligi bora alafu usiitwe football nation kisa rank za CAF zinasema Burundi yupo juu yako na viwanja vyao vile, sisi tuna ligi bora Afrika kuliko nchi zote EA na pia tuna viwanja vzr kuliko nchi zote EA huwezi kutukaribia hata chembe, achana na rank za uongo na kweli, nchi haishiriki Afcon inakuaje mbele ya nchi inayoshiriki Afcon na kuwa na clubs shindani hapa Afrika. Hamtukaribii hata chembe.
Tuliwazidi nafasi tanoUlituzidi nafasi ngapi??
Kila kukicha tunazidi kupunguza nafasi kuwafikia.
Bado nafasi 8 tu tuwafikie.
Mind you hapo kuna nchi mmezipita hazijacheza mechi zao kama Tajikistan.
Wakishinda sijui mtaweka wapi makalio yenu.