Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Umepata msituni kwenye meeting ya ya poor Baboons?😂😂🤣😂Yo ule ujenzi wa uwanja wa dodoma upo na uwanja utajengwa, nimepata hizi taarifa mahali fulani.
Umepata msituni kwenye meeting ya ya poor Baboons?😂😂🤣😂Yo ule ujenzi wa uwanja wa dodoma upo na uwanja utajengwa, nimepata hizi taarifa mahali fulani.
Remember kutakuwa na operators wengi kwenye brt hivyo ni choice ya mwekezaji kununua bus anayotaka.Serikali haiwezi kuhudumia hizo G7. Kama ni kutaka sifa tumenunua top of the range buses sawa. Mtu wa Mbagala public bus lenye AC la nini? Hio ni hasara nyingine kubwa inakuja.
Scania wenyewe ndio watakaosimania service and maintenance ila sijajua mkataba unasema nini tusubiri tuoneUna point hapa Mkuu...
Ngoja tuone mwisho wake... Labda kuna some sort of politics..
Buy Kenya build Kenya.
Wachawi bado wanafurahia importing buses😂😂
View: https://x.com/ScaniaEA/status/1836737116543611366
Ndio kituo cha Gas cha TPDC pale Simu 2000 kama hamja connect dots. (MOTHER STATION)65% cheaper than diesel, less greenhouse gases footprint, inapatikana locally hatuhitaji importation!
View attachment 3100619View attachment 3100620View attachment 3100621
tpdc.co.tz
wao wenyewe wananunua benz mitumba mp3 na mp4 kutoka uk 😂😂😂Delivery ya bus 2 au 3 itawafikisha wapi kama uchumi? Ili upate faida inatakiwa upate mauzo mengi kama nchi utilizing economies of scale.
Order kama za brt buses 300
Other buses 1000 units etc sio bus moja au mbili unaparade na tarumbeta buy Kenya build Kenya 🤣🤣🤣
Tanzania no.110 na ina green arrow it means inapanda.
Last year 3000 buses were built locally, how many did Tanzania build last year?Delivery ya bus 2 au 3 itawafikisha wapi kama uchumi? Ili upate faida inatakiwa upate mauzo mengi kama nchi utilizing economies of scale.
Order kama za brt buses 300
Other buses 1000 units etc sio bus moja au mbili unaparade na tarumbeta buy Kenya build Kenya 🤣🤣🤣
Tanzania is still behind Kenya in FIFA ranking.Tanzania no.110 na ina green arrow it means inapanda.
Sema mwenyewe tumetoka nafasi ya ngapi hadi tulipo.
View attachment 3100649
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopanda kwa kasi kisoka.Tanzania is still behind Kenya in FIFA ranking.
Kenya ilipanda by 6 numbers Tanzania ikapanda by 3 numbers. So nani anapanda kwa kasi Mr. Quack?Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopanda kwa kasi kisoka.
Na tunakusanyaga point nyingi kuliko Kenya.
Kenya mkipiga hatua mbili sisi tumepiga tano.
Six numbers from where wewe nguruwe pori??Kenya ilipanda by 6 numbers Tanzania ikapanda by 3 numbers. So nani anapanda kwa kasi Mr. Quack?